Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari. Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto. Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari...
11 Reactions
121 Replies
9K Views
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari...
13 Reactions
101 Replies
10K Views
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara...
12 Reactions
124 Replies
13K Views
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama...
5 Reactions
101 Replies
11K Views
Heri ya mwaka mpya in advance.. Wanaojua kupenda wamefanyana yao huku. Kama huwezi kuvumilia usaliti acha kuoa au kuolewa.Yaani niende kufia jela Kisa mtu katoa mbunye yake? Will never happen...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii ni baada ya kuwa binti amenijua kwa siku kama tano hivi... Akawa amejua mimi nimesomea mambo haya ya afya, akanikuta ofisini kwa Mzee.. Muda huo nilikua najiandaa kwenda zangu internship...
19 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu habari na poleni na majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Natafuta mchumba wa kike Umri miaka 24 kushuka chini Elimu-kidato cha 4 na kuendelea Mimi binafsi kijana wa umri miaka 27 Ajira...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani eeh..Hivi hawa wanawake wa Kimasai waliopo huku mijini wanachepuka? Kama wanachepuka vipi wakiwa ulingoni ubora wao upoje? Naamini kwa ukubwa wa JF,wapo watu walisha pata uzoefu wa...
8 Reactions
118 Replies
39K Views
Aslaam aleyku ndugu zangu waislamu na wanajamii kwa ujumla,Mimi kwa majina naitwa ndugu suleimani Lucas kamwavahs,nilikuwa mkristo miaka kadhaa iliyopita ila kwa sasa in muislamu baada ya...
0 Reactions
59 Replies
19K Views
Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram. Wengi wao huwa wanasema wanatoa...
19 Reactions
197 Replies
38K Views
shkmoni wana jamvi mwenzenu nimegundua mademu wengi wanao fanya kazi Benki nyingi Bongo aise wanastrees mbaya, yani ukigusa tu hawachomoki sema wanavyo vyaa unaweza waogopa ila wengi wao wanamegwa...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!! KUCHAGUA MCHUMBA (Mke) 1: Amcha Mungu 2: Awaimani kama yako 3:Mkarimu 4: Mchapakazi 5: Mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu 6: Asiye mgomvi...
9 Reactions
209 Replies
12K Views
Wanaume tuwe makini [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] KUCHAGUA MCHUMBA (Mke) 1: awe mcha Mungu 2: awe waimani kama yako 3:mkarimu 4: mchapakazi 5:mwenye...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu short story tu ni kwamba kweli yule mke wa mpemba nilifanikiwa kukutana nae ila kilichonikuta ni hiki hapa, Kwanza picha linaanza binti kafika eneo la tukio akiwa amependeza kinyama, full...
7 Reactions
27 Replies
7K Views
Habarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya. Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana. Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari , Nilikua naishi na mwanamke ambae katika kukutana kwetu alipata ujauzito nikachukua jukumu la kuishi tukaenda kwa wazazi ingawa ndoa hatukufunga , mwezi 3 2021nikiwa njee ya Tanzania...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Nchi za ulaya zimeendelea zaidi katika maendeleo ya family sababu kule ndoa si kifungo kabisa hata nchi za Africa kama kutakuwa na ndoa za mkataba zitasaidia Mambo kama haya 1.kulinda Mali za...
2 Reactions
7 Replies
963 Views
Nimemiss kupendwa na mwanamke sanaaaaa.Yani ananitafuta kila saa,tunashinda wote fully malavidavi packages zote.Sijui nipate wapi beautiful wa kupeana haya yote?
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…