Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

Nina wapenzi wawili, naombeni ushauri

Mr kkk keep

Member
Joined
Jan 6, 2022
Posts
13
Reaction score
13
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa Dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
 
Ulishaamua kuwa mzinzi na nafsi yako imeridhia sasa ya kuogopa kuchukuliwa vibaya na walimwengu yanatoka wapi?

Amua moja. Acha uzinzi au fanya kile roho yako inapenda usijali maneno ya watu. Ukisikiliza watu wanasema nini hutakaa ufanye jambo lako.
 
Chuo siku hizi kumejaa vitoto ...ona mtu kama huyu daaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
Chuo na utovu unaita utomvu. Kama udsm ni jalala, vyuo vingine ni ma_dumple kabisa.
 
Acha uhanangwa wewee sasa ulipata wali ujasiri wa kumiliki mademu wawili,We cha kufanya mmoja mlete getho huyo ndo azoeleke ikibidi kwamba ndo girlfriend wako halafu huyo mwingine tafuta pa kuwa unampeleka kama ni lodge au vip
 
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa dar es salaam.

Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..

Tatizo Ni kwamba wao huwa wanataka kuja ghetoni kwangu kushinda na kulala...

Rakini Mimi naogopa Sana... Naona Kama Ni utomvu wa Nidhamu nyumba nilipanga...

Pia naona Kama jamii itanichukulia vibaya Sana .. ukizingatia naishi nao Kama ndugu hasa mama mwenye nyumba ....

Naombeni ushauri ndugu zangu! Kuna mmoja hapa anataka kuniacha kisa, sitaki aje geto..

Ahsante
Huyo anaetaka kukuacha achana nae baki na huyo mmoja.....ndo awe anakuja geto....usisahau kukaa na condom ndani mdogo angu....hapo life litasonga tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
22yrs unavimada viwili auna kazi assignment zinakusubiri aujafanya Test two auna coursework aujafanya UE eeh cha msingi tafuta elim kwanza ukisemea Wanawake wapo wengi angalia wasije kukutegeshea ukatia mimba mara tukaskia umejinyonga😂

Back
Top Bottom