Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

beatboi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
456
1,124
Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time.

Nimejaribu kumtia mikwala but amegoma na hataki hata kunisikiliza yaani inapita siku bila kuonana nae kwake fresh tuh, nahisi penzi langu ndio linaondoka ivyo au sijui labda kuna mpiga vinanda huko ameshatia kitumbua changu mchanga.

Hawa watumishi sijui wanawaambiaga nini mademu zetu hadi wanachange ghafla, inall namsaka nimtie mara ya mwisho halafu nimuachie huyo Mwingira wake coz nimeshachoka! japo itauma ila kwa muda tuh
 
Back
Top Bottom