Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,361
- 62,402
Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka hata mazingira yale.
Baada ya miez 8 kupita liliibuka tatzo la wanawake kutetemeka miguu, lilianza kwa wachache na baadae likawa tatizo la wadada wengi sana na walikuwa wanatetemeka miguu tu kiasi kwamba hata kutembea hawawezi.
Iman kubwa iliyojitokeza ni kuwa ile Hali imewapata kwasababu ya kutokufanya mapenzi muda mrefu, je ni kweli wanawake wasipofanya mapenzi muda mrefu wanaweza kupata tatizo hili?