If you're in a relationship, odds are you spend a fair amount of time with your partner. Whether it be going out to dinner or seeing a movie together, or just hanging out in the living room...
Jamani hivi hii ipoje? Mimi ni mwanaume ambae mungu kanijalia muonekano mzuri kidogo pia najipenda sana kimavazi sasa kiukweli mimi haipiti wiki bila kutongozwa na mwanamke imefikia kipindi mimi...
Hellow JF
Ninajua humu wote tumepitia penzi jipya na huwa lina raha yake ya kipekee kabisa bila ya kusahau hakuna kitu chenye mazuri tu vipi kuhusu vile vilivyokuwa vinakuboa tena yawezekana sasa...
Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao...
Wakuu habari za wakati.....!
Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi
Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu...
Leo naomba niongee na wanaume wenzangu.
Kwanini sisi wanaume hatupendani?
Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi.
Unakuta mtu kwa...
Moja kati ya vitu vinavyowavutia wanaume kwa wake zao ni mapishi. Mke ukiweza kumteka mumeo katika suala la mapishi, mumeo hatokuwa na sababu ya kutokula chakula unachokipika, lakini pia atakuwa...
*Fahamu maisha ya ubachela*
Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja...
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine...
Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu.
Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume...
Wakristo wengi au watu wengi tumekuwa tunaiga mambo mengi bila kutafuta kujua nikifanyacho ni nampendeza Mungu au ndio fashion tu za kila Siku kuiga??
Wengi watasema mbona wanandoa wanavaa Pete...
The Scents of Seduction
Bring the passion in your relationship to a new level by introducing scents that evoke powerful sensual feelings. Below is everything you need to know about using smells...
Habari zenu wazee wenzangu?
Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile.
So...
Kwa ufupi sana
Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.
Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau...
MWANAUME atabaki kama alivyo na atazid kuwa juu ya mwanamke miaka yote kama vitabu vya Dini vinavyosema.
MWANAUME atazid kutongoza wanawake mbka atakaporidhika wa kuwa nao.
Mwanamke hta uwe na...
Kwema wakulungwa?
Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu.
Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake...
Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia...
Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.
Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.