Tamu na chungu ya penzi jipya

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,203
Hellow JF

Ninajua humu wote tumepitia penzi jipya na huwa lina raha yake ya kipekee kabisa bila ya kusahau hakuna kitu chenye mazuri tu vipi kuhusu vile vilivyokuwa vinakuboa tena yawezekana sasa hivi upo kwenye penzi jipya leo ni siku ya kushare kwa JF wenzako vile vitu ulivyokuwa unafanyiwa au unaendelea kufanyiwa katika penzi jipya ambavyo hautokuja kusahau katika maisha yako kiwe kizuri au kibaya.....
......... karibuni .........

Mimi nitaanza kitu nakumbuka hadi leo ni ile tulikuwa tunaongea na simu hadi inapata moto na muda mwingi alikuwa anatamani tuwe karibu ila sasa aliniboa sana tabia yake ya kupiga mizinga mapema kabisa ndani ya siku 2 tu mizinga ikaanza
images%20(14).jpg
View attachment 2062439View attachment 2062444View attachment 2062437View attachment 2062440View attachment 2062438View attachment 2062441View attachment 2062442View attachment 2062443
images%20(12).jpg
images%20(9).jpg
images%20(6).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom