Hivi wanawake wanapenda wanaume wa muonekano upi?

handsome boy wa jf

Senior Member
Jan 2, 2022
163
333
Jamani hivi hii ipoje? Mimi ni mwanaume ambae mungu kanijalia muonekano mzuri kidogo pia najipenda sana kimavazi sasa kiukweli mimi haipiti wiki bila kutongozwa na mwanamke imefikia kipindi mimi ninakuwa wanawake wengi sana kila demu nitakaemtaka nampata hata awe mzuri vpi nampata.

Maisha yangu nishatembea na mademu zaidi ya 60 yaani isitoshe ni kuwa kuna demu mtaani kwetu ni mrembo analinga mno marafiki zangu wamejaribu kumtongoza wameshindwa ila mimi nilikutana nae juzi njiani demu kaniomba namba zangu jsna ananiambia ananipenda leo nimemleta ghetto nimemla wadau hawaamini nimempataje.

Nina visa vingi ila swali langu ni ili hivi wanawake mnapenda wanaume wa dizaini ipi? Na je mimi nina jini mahaba hau nini maana wanawake wananiganda mno?
 
Jamani hivi hii ipoje? Mimi ni mwanaume ambae mungu kanijalia muonekano mzuri kidogo pia najipenda sana kimavazi sasa kiukweli mimi haipiti wiki bila kutongozwa na mwanamke imefikia kipindi mimi ninakuwa wanawake wengi sana kila demu nitakaemtaka nampata hata awe mzuri vpi nampata, maisha yangu nishatembea na mademu zaidi ya 60 yaani isitoshe ni kuwa kuna demu mtaani kwetu ni mrembo analinga mno marafiki zangu wamejaribu kumtongoza wameshindwa ila mimi nilikutana nae juzi njiani demu kaniomba namba zangu jsna ananiambia ananipenda leo nimemleta ghetto nimemla wadau hawaamini nimempataje,
Nina visa vingi ila swali langu ni ili hivi wanawake mnapenda wanaume wa dizaini ipi? Na je mimi nina jini mahaba hau nini maana wanawake wananiganda mno?
Wewe ni msukuma wa wapi?
 
Endelea kula mbususu pori
Ujana maji ya Moto
Ipo siku utajutia maamuzi yako
Sasa hivi huwez elewa
Utaona tunakuonea wivu
Kwa hiyo ucjali kula mbususu tuu
Mpaka wanyooke
Kila anayepita mbele yako usimuache
Tomba sana kijana

NB
Mchuma janga hula na wakwao
Muda ukifika usianze kulia lia
 
Endelea kula mbususu pori
Ujana maji ya Moto
Ipo siku utajutia maamuzi yako
Sasa hivi huwez elewa
Utaona tunakuonea wivu
Kwa hiyo ucjali kula mbususu tuu
Mpaka wanyooke
Kila anayepita mbele yako usimuache
Tomba sana kijana

NB
Mchuma janga hula na wakwao
Muda ukifika usianze kulia lia
Akumbuke kuacha walau milion 2 kwenye akaunt ili kusaidia mazishi
 
Back
Top Bottom