Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.
Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu...
Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura.
Nilitokea kumpenda...
Nimejiuliza sana, mama zetu ni wepesi sana kueleza mabaya ya baba zetu na kuyaanika wazi, kauli kama kipindi unaumwa mimi ndio nilikupeleka hospital baba yako alikuwa amelewa chakari, baba yako...
Habari wakuu?
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya nguo wilayani Kahama, na changamoto niliyonayo ni usimamizi, na mimi pia nipo mbali na huo ukanda.
Nikiangalia haraka haraka kwenye...
Jana usiku buana nikaingia mtwara bay kwa mara ya Kwanza sikuwahi kufika huku.mwenyeji wangu akaamua kunionyesha machimbo ambayo watu huteketeza pesa zao.
Kiwanja Cha Kwanza tukaingia pale triple...
Jana niliopoa pisi niliifahamu kupitia rafiki yake, aisee baada ya kuipga mizinga ya pombe ikiabidi tuelekee geto.
Kufika geto ile nmejipima na yeye nkawa nmempima ikaonekana yuko positive akili...
Ni mpenzi wangu, aliniomba pesa ya kununua simu. Nikamwambia Sina kwa muda ule, Nikamwambia tuangalie baadae kidogo. Alininunua simu na akasema ananunua ila kachukua hela kwa mama yake tutarudisha...
Mmeamkaje kwa mlio Tanzania? Na wa maeneo mengine ya dunia ninatunaini muwazima pia. Katika kusherehekea siku ya wanawake kimataifa DC tajwa amewaasa wanawake kuacha tabia ya kuwalea wanaume maana...
Habari ya leo.
Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na...
Wakubwa na vijana wenzangu nina imani kubwa Mungu ametujalia uzima na afya tele.. Tuseme Asante Mungu!
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, ninatarajia kuhitimu au kumaliza elimu ya chuo mwaka huu...
Hi JF,
I am a lady between age 30-35 looking for a serious relationship with a Christian matured man age between 36 -42 a widower, divorcee or just a lonely soul looking for a serious relationship...
Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa..
Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa.
Ni kama mida ya saa8...
Leo kuna kabinti kabichi bichi nimezinguana nae, nimempa apointment tukutane saa nane mchana mpaka muda huu anasema yuko njiani.
Kaniudhi sana yaani sana, kafanya niwachukue mabinti wote...
Wewe:Oya!
Yeye:Niambie!
Wewe:Mzima?
Yeye:Mimi mzima wewe je
Wewe: Niko poa
Yeye:Okay
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:
Jamaa:Mambo mrembo wewe...
Bhanigini bhane,
Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti...
Jamani mimi hata mwanamke awe mzuri namna gani, kama anachonga/ananyoa/anapunguza nyusi lazima anishinde. Sipendi kuona nyusi za mwanamke zimechongwa.
Yaani niko tayari kumvumilia mwanamke...
Katika utafiti wangu niliofanya, niligundua kwamba wanawake wengi wanalalamika Sana kwamba wanaume wanawacheat na wanawake wengine.Ina maana katika mahusiano mengi asilimia 75 ya wanawake wapo...
Ndugu wana-Jamvi,
Mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi nane lakini anakabiliwa na tatizo la kuwa na hasira hasa pale anapoona amecheleweshewa kupewa kitu mfano kama uji au juice.
Unaweza...
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake au wanaume juu ya matatizo ya ndoa zao, hii ni tafiti yangu fupi kuhusu vyanzo vya migogoro katika ndoa….Ila kwa huu uzi nitaeleza sababu...