Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Familia ya bwana kabati ilifikia hatua ya juu ya mafanikio katika jamii yao. Mwana kabati ni meneja wa benki na mama ni mwalimu tena alifikia kuwa Mwalimu Mkuu. Walibahatika kupata mapacha...
4 Reactions
6 Replies
760 Views
Katika mishe mishe zangu za kuzifikia ndoto siku moja Niko zangu njiani kuelekea kazini, nikakutana na mrembo ukimtizama huchoki kumuangalia utazan malaika wa zamu Yuko field duniani na Wala sio...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
kwanini kina dada/mama wameamua kujikita katika matumizi ya viungo vya plastiki(sex toys)? tatizo?
1 Reactions
139 Replies
23K Views
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa...
7 Reactions
180 Replies
22K Views
Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu, mfano:- Kutembea kwa mwendo wa maringo Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo Kujifanya umedondosha vitu na kuinama...
13 Reactions
61 Replies
4K Views
Salaam Aleikh Huu uzi ni kwa ajili ya kuomba ushauri. Nina Imani wapo humu watu wenye mitazamo ya kuona kwa mapana madhara au faida ya hili jambo. Nimejaribu kuwaza kwa Zaidi ya miezi minne sasa...
74 Reactions
365 Replies
34K Views
Nina umri wa miaka 29. Naishi Dar es salaam. Nimeajiriwa katika sekta binafsi. Jamani mimi ni kama vile nina utofauti sana. Sivutiwi na waschana wa umri wangu kabisa. Naweza nikawa nae na...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Nataka kufahamu tunaowa kutimiza maandiko au ni kuendeleza utaratibu tulio urithi kutoka kwa mababu zetu? Kama lengo ni kuzaa na kuijaza dunia hilo linawezekana bila kuowa. Kumekuwa na matukio ya...
6 Reactions
84 Replies
4K Views
Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi huwa mnaanzaje? Hata hamuwaonei huruma rafiki zenu? Waachie watu wa mbali wamchukulie mchumba wake lakini sio wewe unaemfahamu vizuri tu rafiki yako. Unawajua vizuri na umeshuhudia mapenzi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana...
36 Reactions
231 Replies
16K Views
Habari za leo Wana JF, Nilishawahi kuwa na uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu, tukaachana ni mwaka sasa mi nishaoa na yeye inasemekana kashaolewa, kiukweli. Yule kiumbe amegoma kutoka kichwani...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari wanabodi, Ni miezi karibu minne tangia penzi langu na house girl wa nyumbani kwangu lilipochipua mithili ya uyoga kandokando mwa Oasis jangwani (Rejea post yangu hapo chini). Penzi langu...
17 Reactions
241 Replies
29K Views
Sopa mazee. Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Siku moja kundi la watu 500 walikua wamehudhuria Semina. Mara msemaji mkuu wa semina hiyo akaanza kumpa kila mtu puto (balloon), na kuwaambia kila mmoja aandike jina lake juu la puto alilopewa...
11 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu...
28 Reactions
249 Replies
35K Views
Sijakuibia mkeo nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
We are the sad generation with happy pictures. Read it again
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kichepe alizaliwa mtoto wa pekee, wazazi wake walizawadiwa shamba la mkonge na ma settlers wa Kigiriki. Waliliendeleza shamba na Kiepe alisoma Kenya tangu shule ya msingi, alikuja nyumbani likizo...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani wapendwa, Mimi siyo mwandishi mzuri Ila naomba mnielewe kwa chochote nitakacho kuwa nimeandika. Kuna mwanadada nimekuwa na mahusiano naye toka mwezi wa kwanza,Naweza kusema mahusiano...
8 Reactions
115 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…