prumpeti
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 1,021
- 2,279
Nataka kufahamu tunaowa kutimiza maandiko au ni kuendeleza utaratibu tulio urithi kutoka kwa mababu zetu?
Kama lengo ni kuzaa na kuijaza dunia hilo linawezekana bila kuowa. Kumekuwa na matukio ya kuvunjika kwa ndoa nyingi zikiacha maumivu na hata vilema kwa kila upande.
Mimi naona ndoa za mikataba zipitishe na sheria iwepo kusimamia malezi mana kweli ndoa nyingi zimeshidwa kustahimili mikiki zimekuwa zikivunjika na haitoshi zinaleta mpaka madhara kuuwa wenza hata watoto!