Mitego mahiri ya kunasa warembo

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Katika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu ninacho tatizo sijui kuandaa basi atapanga siku anakuja mapema.

Akifika namwambia achague kuku gani nimchinje namuonesha jiko anaomba nimuoneshe chumba aingie abadili nguo sasa ndio mtihani unapoanzia anatoka na khanga moja au mtandio unaona kila kitu anaingia jikoni na kuwasha ges anaanza kukaangiza akimaliza tunakula tukimaliza anahitaji aende kuoga hapo ataomba taulo ntampa atavua nguo zote.

Zilizobaki mwilini ataingia bafuni akitoka tu ndio mda wangu wa kumtafuna yeye huu mtego umenasa wengi sana. Lete wako tu share experience
kanga%2Bmoko.jpeg
 
Back
Top Bottom