Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Behind every murder, there is a motive" Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Wana nzengo ngoja na mimi nitiririke kidogo leo kutokana na masaibu yangu. Waswahili wanasema "Unaweza kupenda chongo ukaita kengeza au kipendacho roho hula nyama mbichi n.k". Kwa miaka miwili...
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Nimewahi kukutana na wasichana kadhaa ambao wamekuwa wakinieleza wazi tabia wasizozipenda wakati na kabla ya kugegedana. Lakini kabla sijaendelea mbele nikukumbushe jambo moja tu unae soma uzi...
16 Reactions
79 Replies
10K Views
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show. Manzi anakupa location...
47 Reactions
272 Replies
17K Views
Nawiwa kusema nimekuwa mnyonge mno kutoa salamu. Ninatamani ila nina huzuni. Wife ni mjamzito ila ananikera na nafikiria kuhama kwa muda. Hapa nipo kijiwe x cha kahawa najishauri niunge moja kwa...
16 Reactions
118 Replies
7K Views
Kijana mwenzetu amezama haswa katika penzi la mama mtu mzima mwenye watoto wakubwa ambao huyu mwenzetu anaweza hata kuoa binti wa huyu mama. Tumejitahidi sana kumuonya na kumwambia unapoteza...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema, Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu mimi ni member humu jamvini ila imenibidi kufungua account mpya ili niweze kuleta huu Uzi hapa,hii ni kutokana na kufahamiana na watu wengi kupitia account yangu ya siku zote. Nimeona hii...
187 Reactions
814 Replies
89K Views
Ni mmoja kati ya walioitwa kutoa ushauri baada ya mwanaume kugundua bosi wake ni mchepuko wa mkewe na kazi anayoifanya aliombewa na mke wake. Story iko hivi Jamaa alikuwa na kazi nzuri na maisha...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
- Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya hayo sasa tunarudi katika mada yetu ya leo, nazungumzia juu ya tabia za baadhi ya watu walio katika uhusiano kupenda kuwapiga 'mizinga' sana wenzi wao. Tabia hii ipo zaidi kwa upande wa...
17 Reactions
122 Replies
30K Views
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa...
27 Reactions
99 Replies
9K Views
Habari wana MMU, Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye. Naanza mimi: => Kwenye maguest house => Kwenye...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Salute bosses! Imagine umekorofishana na mwanamke fulani kwa kosa aliloanza yeye, na kwa kiburi akaamua tu uozee jela? Mpaka hapo naona mnapata picha kidogo. Kwamba wanaume wengi wasio na hatia...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Jameni nimechoshwa na wadada wakazi kwa tabia zao chafu. Nashukuru mimi sijawahi kuwa na viumiza vichwa. Hivi mwanamke mzima anasex na mtoto mdogo anamwambia mtoto wa miaka 3 aende chumvini...
16 Reactions
100 Replies
53K Views
Hapa ni shauri mbalimbali kwa wakina dada Mimi ushauri wangu kama wewe mwanamke haupo tayari kulala na mwanaume chonde chonde usimlie pesa zake, Nimeshuudia hapa jirani mdada yamemkuta mambo...
15 Reactions
134 Replies
5K Views
Umuofia kwinu !! Nina hakika kila mmoja hapa amepata kusikia "MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU" na pasina shaka wengi wana ushuhuda kwa jambo hili. Na kwa muendelezo wa mantiki hii MUNGU wa mbinguni...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom