Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 ni mkazi na mfanyabiashara wa Dar. Nimekua kwenye mahusiano na binti wa Kigogo (mgogo by tribe) nataka kuanza taratibu za kumtolea...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama upo kwenye mahusiano ya mapenzi yawe mapya au ndio yako ya kwanza chunga sana mdomo wako usiseme mambo haya kwa mpenzi wako 1. Hofu kuhusu uhusiano wako Katika kila uhusiano, uwe wa karibu...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums, Naomba msaada katika jambo hili. Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita...
2 Reactions
346 Replies
55K Views
Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na...
3 Reactions
275 Replies
22K Views
Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Ahlan wa sahlan Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema...
23 Reactions
154 Replies
11K Views
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto, kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa kaka yake ambaye ni dereva...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini. Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja...
13 Reactions
60 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza natafuta rafiki wa kike ambae atakuwa mchumba wangu hadi tutakapofikia maamuzi ya kuoana....... Asiwe mbali na mjini(Morogoro) Sichagui dini wala umri kikubwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Za jumapili wadau. iko hivi, Unaweza kutana na mtu yeyote inaweza kuwa kwenye gari au njiani au kaja hapa hapo dukani au ofisini kwako kwa namna yoyote ile.. Ile katika kuongea ndani ya nusu...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Nina 25 age, nimepanga nina kila kitu ndani kwanzia sofa, tv tena DStv, nyumba ni self tena ina tiles ila sijakamilika kitu kimoja sina manzi au demu wa kuishi nae humo ndani… Hivyo basi Kama una...
7 Reactions
92 Replies
6K Views
Nipo zangu napata chai ya saa 4, mara simu yangu inaita; kupokea, kumbe ni mchepuko wangu wa zamani mwenye chura matata,ambaye tuliachana kutokana na majukumu kuwa mazito. Akaniambia amekuja...
7 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari wadau, hivi unapokuwa na mahusiano na Mwanamke akakumwambia anahitaji mahusiano yawe ya siri Kuna wambeya wengi je sahihi? Nikaamua kufanya utafiti kwanini anataka mahusiano ya Siri, wengi...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi? Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanaume ambae anakutafuta akiwa na hamu na wewe kingono hakufai kabisaaaa toka ndukiii hapo hakuna mapenzi ndo ushageuzwa sex machine usije fikiri kuwa ndo unapendwa.
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa...
9 Reactions
84 Replies
13K Views
Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa...
15 Reactions
156 Replies
9K Views
Nimeamua kushare majibu yangu hapa, ili iwe funzo kwetu sote, tuchukue tahadhari na tupime kujihakikishia usalama!
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…