Yupo soo addicted na miguno ya kimahaba

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
329
178
Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau

Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi?

Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli??

Tena anasema kabisa zile kelele zinamfanya afike mshindo kabisa bila hata kufanya mapenzi, kweliiii???

Anaendelea kusema huwa ana tabia ya kwenda lodge analipia chumba kabisa kisha anasubiria watu wengine waingie chumba cha jirani ili aanze kuwasilikiza wakiwa wanafanya mapenzi.....Duuuuh!!!!

Hii kitu jamani imekaaje? Binafsi zile sauti nikizisikia uwa zinaniharibu kisaikilijia ,so uwa navaaga earphones au naondoka kabisa eneo ilo

Kumbe kuna wengine ndo wanazipenda na ndo starehe zao? hii imekaaje wakuu.....

Dunia ina maajabu sana aiseeee
 
Kila mtu na kilevi chake, mwache aburudike ingawa awe makini asiingilie faragha za watu eidha kwakushangilia au nae kutoa sauti za miguno ambazo zitafanya wahusika wakose amani.

Yaani inaweza ikatokea akanogewa na miguno ghafla jamaa akapunguza speed au akaacha, jamaa yako akapayuka "we bro mbona umeacha Sasa mpelekee Moto bhana tufaidi"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.

Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.

Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.

Google at your own risk
 
Duuuh,mkuu ndo kusema nipo nyuma ya muda dunia inakwenda kasi sana au?

ayo ma emetopgiliha na climacophilia ndo ma nini tena?
 
Kweli hapa duniani kuna maajabu sana wadau

Hivi kweli inawezekana kabisa mtu akawa anapenda kusikia zile sauti za watu wakiwa wanafanya mapenzi?

Yaani jamaa yeye ndio starehe yake, akisikia sauti za mwanamke anapelekewa moto eti yeye ndo anaenjoy kweli??

Tena anasema kabisa zile kelele zinamfanya afike mshindo kabisa bila hata kufanya mapenzi, kweliiii???

Anaendelea kusema huwa ana tabia ya kwenda lodge analipia chumba kabisa kisha anasubiria watu wengine waingie chumba cha jirani ili aanze kuwasilikiza wakiwa wanafanya mapenzi.....Duuuuh!!!!

Hii kitu jamani imekaaje? Binafsi zile sauti nikizisikia uwa zinaniharibu kisaikilijia ,so uwa navaaga earphones au naondoka kabisa eneo ilo

Kumbe kuna wengine ndo wanazipenda na ndo starehe zao? hii imekaaje wakuu.....

Dunia ina maajabu sana aiseeee
Na hiyo mtu ni wewe!!
 
Katika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.

Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.

Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.

Google at your own risk
Naenda google now
 
Nimeenda...hadi nimeogopa🤣🤣🤣
 
DUNIANI KUNA:-
-Starehe za ajabu
-Magonjwa ya akili ya kutisha
-Viroja vya kuchekesha kupitiliza
-Matumizi ya vilevi hatarishi kwa afya ya mwili na akili
SASA,Mchagulie yupo kundi gani!
 
Katika kesi za serial rapists na serial killers hii tabia imetajwa zaidi ya mara moja katika kesi mbalimbali.

Hua inaitwa 'voyeur' hii ni kama kupiga chabo. Yaani kuna binadamu wana hii fetish, kama vile wewe unavyopenda miguu kuna mwingine anapenda kula chabo.

Kama unahisi hii ni fetish ya ajabu kabisa itakua bado haujakutana na emetophilia, necrophilia, climacophilia au scatophilia.

Google at your own risk
Umesahau tu kukumbusha hayo yote yanahusishwa na magonjwa ya akili

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom