Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha 63, mume anatakiwa kumtunza mke wake kwa kuhakikisha anatafuta kipato na pia anamtunza vizuri nyumbani kwa kuhakikisha mke ameishi mahala...
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta...
Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe...
Hatuna wivu mkiwa na marafiki wenu wakiume,ila usivuke mipaka
Yes,mapenzi yako hayawezi kulinganisha na mapenzi na mama yangu
Sometimes tunashindwa kuelewa hisia zenu au sign zenu haimaanishi kua...
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata...
Salaam enyi wana wa Mungu.....
Nikiwa mgeni kabisa wa mji flani dar es salaam,sikuwa single actually but nlkuwa na mahusiano na mdada flani ila mahusiano yenyewe ni yale ya kimasihara tu(NTAKUJA...
Habari za MDA huu Wana MMU
Nakumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan kwa mwonekano Ni barobaro wa mjini, kwa kukadiria Yuko kwenye 23-29yrs hivi Tuliingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kimahusiano...
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea...
Hi guys, I hope mnaendelea vyema
Maneno hayo nilitamkiwa na rafiki yangu wa karibu baada ya kumueleza sababu iliyopelekea mimi kuchukiwa na classmate wangu wakike
Mimi ni kijana(27) nasoma...
Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani...
Leo ni kati ya siku ambayo nimefrahi sana pengine kuliko siku zote
Nilihisi japo sijawa na uhakika,nilikua namwambia Mara kwa Mara alikua akibisha tena kwa ugomvi mkubwa tu tena Mara nyingine...
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakati...
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo. Kipindi chote tulichokuwa kwenye mahusiano tumepita kwenye nyakati tofauti ngumu na nzuri.
Ukweli ni kwamba, mwenzangu kwa bahati mbaya...
Kitambo nilipenda kusimulia kila kitu kwa mtu niliye mpenda kama sehemu ya kunogesha story na mahusiano lakini nimeona hio hali ni mbaya mno maana inaweza anzisha dharau ulizozipanda wewe...
BY MWALIMU HABELNOAH
JM LIBRARY
MWANZA
HADITHI YA KWELI
Kijana mmoja wa Kiume Alikuwa akipita nyumba Moja hadi nyingine kulilisha tumbo lake lililokuwa na njaa,mwishoe akaamua kuomba chakula...
Kuna mwanamke mmoja kakopa shilingi milioni 4 kikoba, na kuweka rehani nyumba yake ya vyumba viwili, kwa marejesho ya muda wa miezi 5.
Kabla ya kupewa fedha hizo, mkopaji aliulizwa mara tatu tatu...
True story
Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri...
Habar zenu wakuu
Binafs nmeshawishika kuleta Uzi huu baada ya kupitia Uzi nyingi za wadau zenye majuto kadhaa ya waume wenzangu waliyopata baada ya kuzaa na michepuko yao. Kiukweli kuna michepuko...
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu
Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.