Nawakumbusha tu wanawake wenzangu

Nawakumbusha tu wanawake wenzangu

Mwanaume ambae anakutafuta akiwa na hamu na wewe kingono hakufai kabisaaaa toka ndukiii hapo hakuna mapenzi ndo ushageuzwa sex machine usije fikiri kuwa ndo unapendwa.
Sasa tutafutane ili tuimbe mapambio? Zamani za kale tulitafutana ili tuongee n.k, lakini tulipogundua hata sisi nyie wanawake mkitutafuta ni kwa sababu mnataka tutatue matatizo yenu ya kifedha we had to level the ground.
Actually hii kitu ni very unfair, mwanamke anapewa free pass ya vitu vingi, kama kulia lia shida, it seems okay, lakini sisi tukiitaka maku tunaonekana ma player.
Sex machine wapi wakati na mwanamke anaenjoy pia? Ni mwendo wa viwanda vidogo vya uchakataji!
 
Mwanaume ambae anakutafuta akiwa na hamu na wewe kingono hakufai kabisaaaa toka ndukiii hapo hakuna mapenzi ndo ushageuzwa sex machine usije fikiri kuwa ndo unapendwa.
Em kuwa serious kidogo bhasi..
Paka akishakamata panya, hata akicheza cheza naye ni suala la muda tu.. mwishowe lzm atamla tuu.

ME akikutafuta hata kama hakuwa na hamu, itakuja.. hata afanye madoido gani, lengo kuu ni moja tu, kukukula😊
 
Em kuwa serious kidogo bhasi..
Paka akishakamata panya, hata akicheza cheza naye ni suala la muda tu.. mwishowe lzm atamla tuu.

ME akikutafuta hata kama hakuwa na hamu, itakuja.. hata afanye madoido gani, lengo kuu ni moja tu, kukukula[emoji4]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom