Anahisi yeye ndiye chanzo cha mimba za mkewe kuharibika

Pillato

JF-Expert Member
Nov 23, 2021
333
307
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto, kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa kaka yake ambaye ni dereva wa masafa marefu.

Na huyo mke wa Kaka yake alikuwa na matatizo ya uzazi lakini baada tu ya kuanza kumpitia, ni Kama yale matatizo ya shemeji kayahamishia kwa mkewe, Shemejiye akapata mtoto, lakini mkewe ni mwaka wa sita mimba nne changa na kubwa moja zimechomoka,

Wamekuwa wakienda na mkewe kupata matibabu kwa madaktari mbalimbali bila mafanikio, wamezunguka sana kwa Wakunga wa jadi nako wameambulia patupu, Anawaza inawezekana haya yote yanatokea kwasababu.

1:Kazaa na binamu yake
2:Alishampitia shemeji yake (waliachana)

Kaja kwangu kuomba ushauri nimekosa la kumshauri nikaona nije kwenu wanaJF ,kwa niaba yake naomba ushauri wenu tunamsaidiaje huyu ndugu yetu.
 
Watoto 4 bado unataka kuzaa? Una uhakika wa kuwatunza au ndio ile kwamba watajitafutia.
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto,Kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa Kaka yake ambaye ni dereva wa masafa marefu.
Na huyo mke wa Kaka yake alikuwa na matatizo ya uzazi lakini baada tu ya kuanza kumpitia,ni Kama yale matatizo ya shemeji kayahamishia kwa
 
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto,Kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa Kaka yake ambaye ni dereva wa masafa marefu.
inawezekana haya yote yanatokea kwasababu
Watoto wanne wanamtosha.
 
Sasa bado analalama licha ya kuwa tayari na watoto wanne??

Kuna watu hata mmoja hawapati.
 
Watoto 4 bado unataka kuzaa? Una uhakika wa kuwatunza au ndio ile kwamba watajitafutia.
Ukizaa wanne una uhakika hawawezi kufa ukabaki wewe peke yako bila mtoto au ukabaki na mmoja?

Ukiwa na uhakika wa kuwatunza zaa mmoja tu, Kama huna zaa wengi watakuja kusaidiana mbele ya safari.
 
Ilo nalo swali? Kwa mke mkubwa ana watoto wa4, kwa binamu ana mmoja. Jumla 5, sasa why aendelee kufosi as if ndo wanatafuta mtoto wa kwanza?
Kama sio swali umejibu nini sasa! Kila mtu ana malengo yake Obama yeye wanamtosha wawili tu.
 
Ana watoto wanne kwa mkewe ,miaka saba iliyopita akaanza kufanya uchafu na binamu yake hatimaye wakapata mtoto, kama vile haitoshi akampitia mara kadhaa shemejiye mke wa kaka yake ambaye ni dereva wa masafa marefu.

Na huyo mke wa Kaka yake alikuwa na matatizo ya uzazi lakini baada tu ya kuanza kumpitia, ni Kama yale matatizo ya shemeji kayahamishia kwa mkewe, Shemejiye akapata mtoto, lakini mkewe ni mwaka wa sita mimba nne changa na kubwa moja zimechomoka,

Wamekuwa wakienda na mkewe kupata matibabu kwa madaktari mbalimbali bila mafanikio, wamezunguka sana kwa Wakunga wa jadi nako wameambulia patupu, Anawaza inawezekana haya yote yanatokea kwasababu.

1:Kazaa na binamu yake
2:Alishampitia shemeji yake (waliachana)

Kaja kwangu kuomba ushauri nimekosa la kumshauri nikaona nije kwenu wanaJF ,kwa niaba yake naomba ushauri wenu tunamsaidiaje huyu ndugu yetu.
Malipo hapa hapa kwa dunia. Hivi unaanzaje kutembea na mke wa kaka yako! Mimi tu hata demu wa rafiki yangu siwezi, hata ex wake siwezi
 
Back
Top Bottom