Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna Asiyejua hili Neno kila mtu analifahamu na tunalitumia Kila siku na Tunaishi Nalo na Lipo kwenye maisha yetu ya Kila siku. Ulishajiuliza ni kwa nini Facebook wamelichagua neno hili na si...
3 Reactions
9 Replies
881 Views
Hello wakuu humu. Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta...
1 Reactions
2 Replies
694 Views
Ushauri wenu jamani, Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini...
47 Reactions
487 Replies
29K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _ jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari, Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe, Hoja ni...
4 Reactions
53 Replies
12K Views
Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi. Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Amani kwenu nyote. Iko siri kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa huamua hatma ya mtoto wa kike. Ili kuifahamu tumtazame kwanza kijana mume: Mwanamume Kijana mume huanzia chini katika...
45 Reactions
371 Replies
30K Views
Ndugu wanajukwaa pendwa Leo hii nimeona niwatajie baadhi ya faida na umuhimu wa shawaha kwa mwanamke kama ifuatavyo... (1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa...
7 Reactions
113 Replies
35K Views
Nadhani wengi wetu tumeshaisikia theory ya “survival for the fittest”, well leo niko hapa kukuonyesha ni kwa namna gani inavyoongoza maisha ya binadamu na viumbe vyote hapa duniani. Kwanza kabisa...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu...
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Naamini mme hupatikana popote Mimi ni mama wa mtoto mmoja. Naishi mkoa wa Iringa hivyo nimeona nitafute mtu wa mikoa ya karibu ili iwe rahisi kuonana. Sifa za mme awe hana mke. Awe na miaka 35 na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni hivi! Huyu ni shemeji yangu alimuoa dada na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Kama nitakuuliza nini unachohitaji kwenye maisha yako? Na ukasema kitu kama, napenda kuwa na furaha,familia bora, na kazi ninayoipenda.majibu yako ni yakawaida yaliyo zoeleka na hayana maana...
3 Reactions
13 Replies
883 Views
Salute bosses! Kuna muda nachanganyikiwa. Nasikia kilio kwa mbaaaali kutoka kwa me wengi mara oooh wanawake wamekuwa opportunistic, wanapenda hela n.k. Najishangaa sana mimi, na miaka hii 28 ni...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
.Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari? Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU...
30 Reactions
201 Replies
11K Views
Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni...
6 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara. Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Back
Top Bottom