Prince Messiah
Member
- Jul 29, 2018
- 6
- 1
Habari zenu wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 ni mkazi na mfanyabiashara wa Dar. Nimekua kwenye mahusiano na binti wa Kigogo (mgogo by tribe) nataka kuanza taratibu za kumtolea mahali na kuoa, sijui naanza wapi na taratibu zipi za kufuata kwenye kutoa mahari.
Jukwaa lipo huru naomba ushauri maoni na changamoto wanadau