Ukiona unatafutwa sana, sio kwamba unapendwa; unatakiwa utoe hela

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,282
Nipo zangu napata chai ya saa 4, mara simu yangu inaita; kupokea, kumbe ni mchepuko wangu wa zamani mwenye chura matata,ambaye tuliachana kutokana na majukumu kuwa mazito.

Akaniambia amekuja kwenye mkoa niliopo, kwa ajili ya kuchekiwa macho. Mi nikamwambia vizuri, ukipata nafasi uje unisalimie.

Kweli baada ya lisaa limoja akawa amefika nyumbani, baada ya kumkaribisha na kumtazama machoni, nikajikuta nimeingiwa na nguvu ya ajabu; kuja kushtuka alishapata viwili.

Baada ya hapo, akasema anataka arudi hospitali kwa sababu alichukua namba tu. Nikamwambia powa, nikampa wekundu watano angalau apate chakula huko njiani.

Kufika hospitali, ananipigia simu; anahitaji shilingi laki mbili na ishirini abadilishiwe miwani. Nikatafakari kwa kina, nikajisemea kumbe hii kuja kwake hapa alikuja kwa malengo. Ina maana ananiuzia huduma!

Nikamjibu kwa kifupi, sina hela, labda nicheki wiki ijayo. Kwa hasira akakata simu.
 
7ade2306-dc69-48ae-b767-a6f3d618089a.jpg

Madem wamekua matapeli
 
Ni kasheshe Sana😄😄
 
Back
Top Bottom