Natafuta rafiki wa kike aliye Morogoro

Brown Mduma

Senior Member
Sep 29, 2020
180
283
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza natafuta rafiki wa kike ambae atakuwa mchumba wangu hadi tutakapofikia maamuzi ya kuoana.......
Asiwe mbali na mjini(Morogoro)
Sichagui dini wala umri kikubwa awe pisi kali tu
Kama upo njoo DM tuyajenge
 
Ukipata wawili nipasie mmoja
# maendeleo hayana chama
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom