Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mughonile! Nilimuoa Mke wangu miaka 9 iliyopita. Kwa sasa tunawatoto wawili. Mke wangu alikuwa amebobea kwenye Makanisa haya ya upako. Baada ya kukubaliana na vigezo vyangu, ambacho kimoja wapo...
74 Reactions
172 Replies
13K Views
Wanawake wa miaka ya sasa ni tofaut na miaka ya zamani, msichana ukikutana nae for first time ukaomba namba ukamtongoza atakuzungusha sana tena km ndio hajavutiwa na wewe ndio unaeza kutuma msg...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Mapenzi au kupendana ni hatua kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh...
2 Reactions
130 Replies
17K Views
Hello members! Ni mdogo wangu wa mwisho wa kiume miaka 17+ Nashindwa kuelewa ni malezi au nini. Ila mbona sie wengine ndugu zake hatuko hivyo. Naanza kuhofia asije kuona namnyanyasa. Yaani...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna kadada furani kana soma Saut hapa mwanza nakapenda sana nanimeshawahi kukambia ila akatoi majibu zaid ya kukaa kimya basi. Tumeishi maisha hayo ila kakikukumbuka kana kutexts mnasalimiana...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mmeamkaje? Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha. Sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli, kiasi...
24 Reactions
251 Replies
15K Views
Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Mara kadhaa nimepata wasaa wa kutazama sura yako kwa ukaribu zaidi. Hatua chache toka ulipo hiyo imenipa wasaa wa kuutazama uziri wako nikiwa karibu. Sio mtaalamu katika kuyaeleza maneno yanayo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu manzi tunafanya naye kazi kampuni moja hapa mjini, nina mahusiano naye huu mwezi wa 5. sasa cha kustaajabisha ana mimba yangu ya miezi miwili ila anasema hataki nijihusishe na mimba yake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya mapenzi ni upuuzi flani. Huyu mama alinitunuku penzi kwasababu alikuwa analipiza mumewe alikuwa anamuumiza. Lakini sasa hivi kanichunia bila sababu, nahisi nyumbani mambo yametulia...
6 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari zenu.....!! Kama mada inacyojieleza hapo juu hii kitu nimeshindwa kabisa siwez kuongea na dem zaidi ya dakika 40. Maana nitaanza kuongea upuuzi wa hali ya juu[emoji23][emoji23][emoji23]...
16 Reactions
107 Replies
24K Views
Wakuu, Habarini za mapumziko na heka heka za kila siku. Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu; Hivi mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo...
6 Reactions
349 Replies
24K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu. Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote...
35 Reactions
101 Replies
13K Views
Watu wa MUNGU, bwana asifiwe, pia naomba niwatakie walio katika mfungo funga njema, MUNGU awatangulie njia nzima hadi mwisho wa Ramadhani. Wakuu nina jambo limenisibu siku ya jana naomba mawazo...
13 Reactions
219 Replies
20K Views
Imekuwa kawaida ya kumpata umtakaye kupitia kumshawishi hasa hasa kwa maneno yaani kutongoza Nina Visa viwili vilivyonifanya comrade wa kurusha nyavu😂 Part I Kuna katoto ka kike hako ka get...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari JF Nyie mapenzi yasikieni tu kama jinsi yalivyo,, now days bila kupiga denda yaani naona kabisa kwamba kuna kitu kizuri kimemiss. Lakini nakumbuka enzi hizo miaka ya 2000s ndio nachipukia...
6 Reactions
142 Replies
36K Views
Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote...
13 Reactions
84 Replies
9K Views
Kwanza hazipo za kutosha mtaani unaweza kukuta duka moja TU lenye kondom..mtu unafikiria kweli utoke chumbani umuache mwenzio eti ukatafute condom hakunogi. Bado uwaze hela ya kumpa mwali,bado...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom