TONGOZO NDANI YA BASI KWA WASICHANA

TONGOZO NDANI YA BASI KWA WASICHANA

emavalery

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
628
Reaction score
1,252
Habari wadau wa JF,

Natumaini mko sawa, leo nakuja na mada ya MMU ya kuuliza flan hv,nahisi ni umri kusogea au ulikua ulimbukeni wa ujana kipindi hiko.

Ni ule utaratibu ukisafiri, unatamani upangwe na mdada au unaomba kabisa kwa makondakta, mbinu zilifanikiwa na zilifeli pia kama kawaida.

Nachojiuliza, sikuhizi sina mzuka kabisa wala hisia za mishe za pimbi, ni wote au ni kwa wachache wetu tu??

[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Nakumbuka 2015 nilitoka Arusha naelekea Mbeya na Arusha express nilikaa na Bibi moja hadi Dodoma (Bihawana) kufika mtera akapanda binti moja hivi wa kinyakyusa alikuwa anaenda had makambako,basi nikaongea nae akawa anakataa kunikubalia kufika makambako nikamwachia namba zangu.

Baada ya miez mi3 akanitimia sms I'm bligeta,unanikumbuka?

Kumbe yupo Mbeya akaniambia ombi lako limekubaliwa njoo mbalizi ule utamu wa kinyakyusa
 
Aiseeee ila sikuhz naona jau tu, nakula music tu.
 
Nakumbuka 2015 nilitoka Arusha naelekea Mbeya na Arusha express nilikaa na Bibi moja hadi Dodoma (Bihawana) kufika mtera akapanda binti moja hivi wa kinyakyusa alikuwa anaenda had makambako,basi nikaongea nae akawa anakataa kunikubalia kufika makambako nikamwachia namba zangu.

Baada ya miez mi3 akanitimia sms I'm bligeta,unanikumbuka?

Kumbe yupo Mbeya akaniambia ombi lako limekubaliwa njoo mbalizi ule utamu wa kinyakyusa
Bora hata nikae na kijana, najua natengeneza connections hata sio yangu na madogo na ndugu, ht kama sio biashara hata ajira
 
Back
Top Bottom