nini maana ya kujipanga na kujijenga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini maana ya kujipanga na kujijenga?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GP, Jul 20, 2009.

 1. GP

  GP JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mabibi na mabwana!,
  mie bwana nina shemeji/ wifi yenu ambaye nina kama mwaka mmoja hivi tangu tuanze mahusiano, ninaishi homu kwa dingi (servant quarter! umri wangu ni 25-27 bado nipo nipo!!), nina miaka 2 tangu nimalize chuo na mwaka mmoja na nusu tangu nianze kazi kampuni fulani.
  sasa bibie siku moja nilimwambia ninampango wa kutoka homu nianze kujitegemea, akaniambia nina haraka ya nini wakati bado natakiwa kujipanga na kujijenga kwanza?. sasa nikawa najiuliza hivi vitu maana yake nini haswa?
  nikaona isiwe tabu wacha nilipeleke hili suala JF watanisaidia kunielimisha.
  naombeni mawazo yenu kujijenga na kujipanga shemeji/ wifi yenu alikua anamaanisha nini. msaada plz

  nawasilisha.
   
 2. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Ok kwa kweli kila mtu anajisi ya kulifafanua na kulielezea anavyokuwa anaongelea neno la kuijpanga,

  Yaani rafiki yangu ambaye ni ndugu yangu alipokwambia kuwa jipange kwanza na usiwe na haraka inawezekana alisema hivyo akiwa anakuonea huruma kwa majukumu ambayo utakuwa nayo baada ya kupanga.
  Kulipa kodi ya nyumba,kulipia luku,kuchangia hela ya usafi kwa wale wanaopata nyumba iliyo na wapangaji wengi,kulipia hela ya sewage system kwa wale kila kukicha wana;eta gari kwa ajili ya kudrain sewage system nk

  Pili inawezeka kakwambia hivyo kwa kuwa anajua financial capability yako hivyo akaona kuwa utakuwa umejiongezea mzigo badala ya kujipanga na hayo mambo kabla ya kwenda kupanga.

  Suali lisilo lasmi,Uliwahi kumgusia kuwa nimepata kiwanja na kumshirikisha kuwa badala ya kwenda kupanga ningeonelea nijenge akakutalia?

  Kwa hiyo kukwambia kuwa usiwe na hara ya kukimbilia huko aliona kuwa uamusi huo siyo endelevu kwa kuwa fainancial anakujua.

  ni hayo tu kwa niamba ya shost wangu.
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  actually financial niko fresh kwakweli naweza kutatua hayo mambo na yeye mwenyewe pia kumgharamia ingawa nae ni mfanyakazi, na muda wote huo nilikua nasave sana, kiasi ambacho ndio maana niliamua nifikirie kwenda kuanza maisha.
  bado tuko kwenye GF-BF relationship, sasa ndio maana nafikiri nianze maisha ili tupange sasa mambo ya kujongea altareni!, siwezi kwenda altareni wakati nakaa kwa dingi, au nitoke altareni moja kwa moja nikaanze maisha ya kujitegemea nikiwa nae.
  kuhusu kiwanja cha kujenga itafuata baada ya wote kua mwili mmoja.

  swali je alikua anamaanisha kujijenga na kujipanga au kitu kingine?
   
 4. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  .
  nenda kaanze maisha usiwe unawasikiliza sana hawa GF wao ndoto za ni maisha ya palace tu. ndiyo maana walisema mwanaume kichwa cha familia.
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Fidel80 upoooooooooo hapooooooooooooo
  Mpe jamaa mikakati yako ya 2012
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wapi yupo?
  nasubiri aiseeee.
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Halafu wewe George toka lini demu akaombwa ushauri wa maisha bwana? Utamiss step mjomba, hawana maana hawa viumbe, akili ni nywele kila mtu ana zake
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Fidel80 atakuwa anaji-express himself mida hii, jamaa mgonjwa sana wa mtandao sana
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  unaniangusha mkuu, huyo binti mi ndo my wife wangu to be!, so sometimes tukiwa tumechill tunabadilishana mawazo tunajadili vitu kama hivyo. ndio maana nilimuuliza anipe ushauri.
  mi nahisi hawa mademu sijui wanataka mtu uwe na gari kabisa au nyumba?, duh [​IMG]
   
 10. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Mbali na vyote utuavyo we need to have these things before bwana.sasa lift mpaka lini?
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  halafu nimekumbuka huyo demu wako anataka ununue gari ndio maana anakwambia ujipange na kujiaandaa kwanza. Ila anashindwa kukwambia direct tu. Mademu wa kibongo na magari utawaweza kwani
   
 12. Mwenda_Pole

  Mwenda_Pole JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  swali la jibu lako ni rahisi sana.. ungemuuliza huyo huyo alikuwa anamaanisha nini aliposema hivyo..?? inawezekana kila mtu akawa na matazamio yake juu ya maana halisi ua kujijenga kwani kila mtu huwa ana malengo tofauti katika maisha.
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  lakini pia angalia unaweza pigwa changa la macho ukiwa unang'aang'aa macho, inawezekana binti amewaweka na msela mwingine kwenye mizani atakayeweza kujipanga fresh ndie anaingia kwenye first eleven. Changamka mjomba
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu sikuangushi
  najaribu kusema kile nikijuacho kaka
   
 15. GP

  GP JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  aaanhh, sasa naanza kupata picha fulani hivi.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  mnhh, hapa sasa kaaaz kwelkwel
   
 17. GP

  GP JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nilitaka kwanza kuja hapa jamvini, kizuri kula na nduguyo mazee!, JF ni ndugu zangu, sasa nikirudi leo lazima aniambie alikua anamaanisha nini.
   
 18. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo baada ya kumwambia utatuletea majibu hapa jamvini?ili tuone kama misaada ya ushauri tuitoa kama huwa inazaa matunda.si ndio shemu?
   
 19. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Huyo kaka hana penzi na wewe kwani kama anakupenda katika shida na raha basi matajipanga na kujijenga mkiwa wote, wengine tuliambiwa hivyo na baadaye ndege pruchuuuuu!
   
 20. GP

  GP JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  haina neno shem.
  ila bado ngoja tusubiri michango mingine, kuna wadau bado siwaoni kabisa hapa, kina dada hasa michango yao naisubiri.
   
Loading...