Namna ya kupunguza matatizo katika mahusiano na ndoa

Nigga What

Senior Member
May 1, 2021
164
438
Habari ndugu wana jf

Baada ya kutafakari kwa muda kidogo juu ya solution ya ugomvi na kukosekana kwa maelewano katika mahusiano na ndoa leo nimekuja na mapendekezo kadhaa


Kabla ya kuanzisha mahusiano (MWANAUME)

1. Epuka tamaa za mwili, matako, shape sura zenye tension na wanawake maarufu (womenphobia)

2. Usiwe busy kutafuta wanawake kuwa busy kutafuta pesa na kutengeneza maisha perfect women will fall into your life goals automatically

3. Epuka marafiki wenye kupenda ngono,pombe sana, outing za ajabu na network zinazokulink na wanawake wa mjini

4.Sali

Kabla ya kuanzisha mahusiano (MWANAMKE)

1. Money is overrated, you need peace of mind wanaume wengi watakao kupa peace of mind sio matajiri ni wale ambao wanataka uwepo wako kusupport mapambano .

Ni kweli pesa ni muhimu ila too much money sio lazima you just need peace of mind hakuna kiwango cha mwisho kwenye pesa ukimpata vunjabei utamtamani mo dewji.

2. Invest in your family, love and support your husband your are the centre of happiness in your family

3. Sali sana

Ahsante
 
💔+🍀=❤.jpeg
 
Naona unaongelea theory ingia kwenye practically sasa ndoa nizaidi ya ayoo ndoa ni ujinga sana ni.vile tunafata Yale tuliyoyakuta kwenye jamii Ila kuna watu wanajituma kwenye kutafuta pesa, Wanasali, hawana michepuko ila wanayoyapata kwenye ndoani zaidi ya kifo ndoa ni bahati Tu
 
Naona unaongelea theory ingia kwenye practically sasa ndoa nizaidi ya ayoo ndoa ni ujinga sana ni.vile tunafata Yale tuliyoyakuta kwenye jamii Ila kuna watu wanajituma kwenye kutafuta pesa, Wanasali, hawana michepuko ila wanayoyapata kwenye ndoani zaidi ya kifo ndoa ni bahati Tu
Kweli ndoa ni bahati.

Work mate wangu aliachwa na mchumba wake alietoka nae tangu shule, akasema hataki tena mwanamke atakua ananunua tu papuchi ili kukidhi haja. Matokeo yake akajikuta amependana na dada poa. Akamuoa yule dada, na wanaishi vizuri kabisa na hata ukiambiwa huyu alikuwa dada poa huamini.

Mfano 2. Jamaa.mmoja alisema anaenda kuoa kijijini coz wanawake wa mjini ni pasua kichwa. Baada ya mwaka jamaa ndio anaonekana mshamba demu ndio kama amezaliwa mjini, amani ya ndoa hamna kabisa.
 
Back
Top Bottom