Kuna wanaume kauzu huyu dogo kanikonga moyo

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,854
Dogo anaendesha boda boda mtaani kwetu, akapata demu mmoja pisi kiasi akamtokea demu akakubali lakini demu akatoa sharti kwa dogo kwamba Kila watakapoonana dogo ampe demu 20k
Dogo akakubali mahusiano yakaanza Kila demu akija geto wanafanya wakimaliza demu anapewa chake anasepa ikawa ndio utaratibu wao

Juzi apa balaa limetokea demu kafiwa na kaka ake tumbo moja kijijini demu akampigia dogo ampe nauli demu aende kuzika, dogo alichomjibu demu jion njoo geto uchukue ili kesho uanze safari, jioni kweli demu kafika geto dogo akamwambia demu vua tufanye nikupe chako usepe mwanamke akaanza kupanic oooh Mimi nimefiwa kaka angu wa tumbo moja Leo nikivulie nguo ndo unipe nauli dogo akakomaa akasema wewe hakuna hata cku moja tuliofanya bila kukupa pesa Leo me natoaje pesa bila kunipa

Tulikua tunauziana Leo pesa Mimi ninao nami nipe bidhaa tumalizane demu akaishia kulia kasepa sake dogo nae kabaki na pesa zake.
 
Back
Top Bottom