Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅...
Aisee leo Zero IQ kuamka tu nimekutana na bonge la meseji la kupigwa kibuti ,
Wanawake muda mwingine kuweni na huruma basi ata chai sijanywa unaamua kuniacha ili niumie nisingekuwa na spare za...
If you didn't disvirgn your wife, then at least one of your children isn't your own.
Prepare to spend your hard earned money on child that you didn't father.
Note that as soon as her ex shows...
Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina.
Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno...
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala...
Habari wana JF niende kwenye mada
Wengi wetu tumekua kwenye uhusiano wakimapenzi kwa nyakati tofauti tofauti licha yakua na mausiano nama binti kadhaa kwa nyakati tofauti nimegundua Kuna shida...
Ni mke wa rafiki yangu, ila shida sasa mazoea yamezidi sana, kutwa kujibebisha bebisha na meseji zake za mchongo,
Vinguo vyake vya mtego anavyonivaliwa nikiwa nawatembelea ni hatari, Juzi tu hapo...
Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo...
Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali, anapendwa pamoja na mwanao, na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌 na analipiwa ada kubwa, lea mwanao...
Wadau,
Nimefunga ndoa baba mkwe ametupa kiwanja Dar jina la mke wangu kipo karibu na kiwanja cha wakwe zangu.
Sasa hivi nimekopa ili nifanye ujenzi kwani tuna viwanja viwili cha kwangu kabla...
Katika nyakati hizi hizi za miaka hii kulikuwapo na muuza matunda nadhifu na msomi. Ambaye alikuwa mpya katika biashara ya uuzaji matunda sokoni.
Alianzisha biashara kubwa na ya mzigo mkubwa na...
Bosi kaingiwa na huruma baada ya kumuonesha ile meseji ya mke kwamba navyosafiri anafanya upuuzi.
Bosi kasema nisisafiri kesho, badala yake nisafiri jumatano jion, kwanza nihakikishe namalizia...
Kumekuwa na malalamiko sana ya kimahusiano. Wenza wakilalamika kushindwa kufika katika ndoto za mahusiano bora yaani ndoa na kuanzisha familia na kudumu milele hadi uzee. Hii ni kweli inatokea...
Hope mko poa,
Naomba niende kwenye mada na niombe radhi kwa uandishi. Mwezi uloisha yani July nilienda kikazi moro.
Na hapo kuna kaka zangu wa damu ingawa sikupenda kufikia kwao, badala yakufika...
Salaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada.
Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo.
Sasa tatizo...
Natumaini wote mko salama,
Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu kuwa na ujauzito wa mpenzi wa zamani ilihali niko katika ndoa.
Uzi wenyewe huu hapa;
Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na...
Habari ndugu wadau wa JamiiForums
Mimi nina mchumba ambaye tumedumu naye kwa mda wa miaka mitano (5) mpaka sasa bado hatujafunga ndoa ,ila malengo yetu bado yako pale pale.
Tatizo linakuja pale...
Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.