Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana.
Twende kwenye mada husika kizazi changu...
Nawasalimu nyote,
Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani.
Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na...
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke...
Wanawake aisee Mungu awape hustahimilivu mkubwa sana na jicho la kuona mbali saaana, maana najua changamoto ya wanawake wanashindwa kuchagua mtu sahii wanajikuta wanachakazwa na wakware mbalimbali...
Kwanza heshima kwenu wakubwa,naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Kule facebook nina group langu lina watu elfu 60 ila wengi ni wanawake na hii ni kutokana na mada ninazoweka mle zinavutiwa...
NANI ALIYEKUAMBIA UCHUMBA NI NDOA..[emoji780]
Nawasalimu kwa jina la TOZO za jamuhuri Ya muungano wa Tanzania
Kuna mambo mengine hata kama sikuataka niseme yananibidi tu niseme. Hivi ni nani...
Kama wazee wetu walioa mama zetu wakawapikia chakula kitamu, wakawafulia nguo, wakaombea mafanikio, wakalea watoto na wakasimama kama wanawake katika kuistablize familia
Je, hawa wanawake wa leo...
Kuna vijana ambao wakiachwa au wakiachana na maex wao wanaomba tena kurudiana nao. Nikupe tu siri kidogo mwanamke akiona amekuacha alafu umeshindwa ku move on bila yeye ndugu yangu umemalizika...
Kuna mtu aliwahi kusema, "kama hautojipenda mwenyewe basi, hauwezi kumpenda yeyote kwasababu hauwezi kutoa upendo ambao hauna". Hauwezi kufanya mtu akupende ikiwe wewe mwenywewe hujipendi. Maisha...
Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho.
Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu...
Wakuu nina mwanamke mmoja ni rfk tu sasa tumezoeana sana ila cha ajabu amekuwa akinilalamikia mahusiano yake kila daily mbaya zaidi amekuwa akiniomba ushauri kwamba amuache jamaake Mara jamaa...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri
Bado naendelea kufuatilia masuala mazima ya ndoa hasa katika nyanja kuu 3 kimila, kidini na kiserikali.
Suala la kulipa mahari kwa mwanamke lipo na limeelezwa...
Habari MMU
Kwenye haya maisha bana wanawake wanajua kupenda sana na usiombe ukakutana na mmoja wao aliyekuelewa.
Wiki jana kabla yakuachana na mchepuko mmoja binti mrembo na mwenye IQ ya wastani...
Wakuu habari!
Katika hali isiyo ya KAWAIDA Kuna dada ambaye tunafahamiana lakini sio wapenzi kabisa, na hatujawahi kuwa wapenzi.
Huyu dada juzi amenifuata na KUJIELEZA kuwa alikuwa na mahusiano...
Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto...
Wakuu,
Kama ilivyo ada kwa wanawake, wale wenye kusudi la kudanga basi hutumia mavazi mbalimbali chonganishi zinazoweza kumuamsha Mwanaume kihisia.
Sasa katika utafiti uliochukua miaka mitano...
Hongereni na Harakati Wakuu..
Baada ya kumkosa mtoto wa Kikenya na Mtangazaji wa BBC Ester Kahumbi Baada ya kuwa kumbe ameshaolewa na lijamaa huko kwao,nimekuja na ombi la connection..
Kuna...
Salaam kwenu,
Niko kwenye ndoa mwaka wa 8 saivi na tumejaaliwa kuwa na watoto wawili. Mimi na mwenzangu tumeajiriwa Kwenye taasisi moja ya umma japo kwenye vituo tofauti.
Mwezi huu kukatokea...
Heri ya ku sensabika kwenu.
Mke kafuma tukio la Mimi kuchepuka na dada mmoja muuza duka. Katika mabishano ya hapa napale nikaamua nikubali ili mzozo uishe.
Leo asubuhi nimekaa sebuleni nasubiri...
Habari zenu wana JF,
Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.