Ulimpa mimba ukadhani atateseka

Ulimpa mimba ukadhani atateseka

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali, anapendwa pamoja na mwanao, na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌 na analipiwa ada kubwa, lea mwanao ofsa starehe zipo tu ladies Mungu awatie nguvu.
 
Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus [emoji590]
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
Tulia singo maza
 
Nashukuru ila jua damu nzito kuliko ww wakuja kwa kid wng
 
immnh.....

binamu, ni nn mbaya saa hii...

kwani kumeenda aje???
 
Ulimpa mimba ukadhani atateseka na mtoto wako hahaha muda huu yupo na nyumba na gari kali,anapendwa pamoja na mwanao,na mtoto wako yupo ana go kwa school bus 🚌
na analipiwa ada kubwa ,lea mwanao ofsa starehe zipo tu,ladies Mungu awatie nguvu.
kwa hiyo wewe ndio msemaji wake,? nchi ya hovyo sana hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom