Ananilazimisha nimuoe

Ananilazimisha nimuoe

punditt

Senior Member
Joined
Feb 19, 2019
Posts
112
Reaction score
50
Habari ndugu wadau wa JamiiForums

Mimi nina mchumba ambaye tumedumu naye kwa mda wa miaka mitano (5) mpaka sasa bado hatujafunga ndoa ,ila malengo yetu bado yako pale pale.

Tatizo linakuja pale mwenzang anaharakia tuweze kufunga ndoa wakati huo mm binafsi bado sijajipanga.

Naombeni ushauri wenu wadau najua hapa wapo watu wenye uzoefu, naamini mtanipa ushauri ambao utanisaidia.

Asanteni

Mapovu yanaruhusiwa
 
Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
 
Miaka 5 naamini anakufahamu sana kuanzia kipato chako mpaka nyeti zako. Muoe hata kimyakimya ukigoma ujue huna malengo nae naunampotezea muda mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama kweli jamaa angekua na malengo na huyo dada, ndani ya huo muda kuna vitu vingi angeweza kufanya sio lazima kumuoa espeshale kama mambo hayajakaa sawa. Mfano angeweza kujitokeza kwa wazazi, kumtolea mahari, kumvisha hata pete, nk vitu ambavyo vingeonyesha nia ya jamaa ni njema na vingempa binti kisingizio cha kuwakataa wanaume wengine. Sasa ukute jamaa linamega tu 5 good years hata halipajui kwao na binti halafu linakuja kulia lia hapa.
 
Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
Nauliza tuu
Hivi haiwezekani kukaa miaka mitano bila kugegedana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna lolote,huna mpango nae...kama una nia,muoe mtapangana mbele kwa mbele.
 
Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
Naunga mkono hoja[emoji108][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka mitano yote unatafuna papuchi bure bure tuu? Ukiona hivyo ujue huyo binti kuna mtu anamsumbua anataka kuleta posa sema binti nafsi inamsuta ndio maana anataka muoane aepuke hicho kishawishi. We kama hauko tayari muambie aendelee na maisha yake huna sababu ya kumzibia rizki
Kwani papuchi ni kifaa ambacho lazima kilipiwe?? Kwani jamaa hajaliwa boo miaka mitano bure bure?

..................................
 
Usiogope mkuu,mi huyu nlie nae tumedumu miaka 9 na nimemzalisha watoto wawili,ndo hatujafunga nimetoa kishika uchumba tu
 
Ngoja waje wadada watakuwa na mawazo mazuri sana

kuwa na demu zaidi ya mwaka harafu huna malengo nae sio vizuri bora mwachane wengine watie geto kabla hajawa single maza
 
We umeisha pima akiri kweli?

Ok ngoja niende kwenye point. Kwa mda wa miaka mitano mlikuwa mnaishije kwenye uchumba wenu? Ujui had hapo umeisha mfungia milango mingi ya kuolewa ndo maana anawasiwasi.
Ndoa sio biashara kwamba had uwe na mtaji ndo ufanye, miaka 5 mliyokaa inatosha sasa muoe hvyo hvyo wenda huyo ndo kashika ata uchumi uliona sahv pasipo ww kujua kwan mwanamke ni baraka pia. Kama unataka kuona mafanikio yako yalipo muoe hvyo hvyo muanze kujipanga mkiwa mmeonganisha nguvu hapo ata Mungu atatia baraka zake kwenye utaftaji wenu
 
Back
Top Bottom