Tukifanya haya, mapenzi yatakua matamu sana

new level

JF-Expert Member
Apr 21, 2021
269
567
Habari wana JF niende kwenye mada

Wengi wetu tumekua kwenye uhusiano wakimapenzi kwa nyakati tofauti tofauti licha yakua na mausiano nama binti kadhaa kwa nyakati tofauti nimegundua Kuna shida mahali ..

Vijana wengi wamekua wapweke licha ya kua kwenye mausiano yakimapenzi..

MAPENZI NI NINI?
Unakuta mtu anampenzi wake Ila awajawai ku hangout pamoja awajawai kufanya kitu chochote pamoja ukiachana na ku sex na kuchat kwenye sim.

Your girlfriend/ boyfriend must be your homie
Ichi nikitu ambacho wa Africa wengi hatufanyi .. nakumbuka nilipokua o level Kuna kipindi nilikuwa sihudhurii shule kwa hufasaa kunadem wakaamia mtaani kwetu ambapo alikuwa anasoma shule iyo iyo ninayo somea Mimi tukazoeana nikajikuta naanza kumpenda nakumbuka sikuwai Tena kunyali shule nilikuwa na enjoy sana kuongozana nae shuleni so uwezo wangu wa shuleni uliimarika Sana .

Sasa shida ninayo iyona kwenye swala zima la mapenzi watu wengi wamekua wapweke no matter how many girls u got my n*ga Yani kunakua hakuna zile good moments baina yako na manzi si hua mnafuraia tamthilia Zaki Philippino ? naku wanadi kwamba wanajua sana mapenzi movements zao mnazionaga right ? hua nikama njiwa yani utaskia mlango unagongwa konkonko

Mom: hey Christine your boyfriend is here
Girl: hey come on in what's up

Boy : am here to pick you up I wanna take a walk with u maybe we should go to library or some , what do you think ?

Girl :hooh yeah Sure gimme one minute

Hayo ndo mapenzi ukitoka job chukua time pigeni story pamoja somewhere enjoini kwa pamoja demu ukiwa unaenda town usiende na shosti wako mpigie sim mpenzi wako mwambie ..hey nisindikize town... ile moment mtakayoipata huko town itaimarisha kumbukumbu ya mausiano yenu siku nyingine akienda town bila wew ata miss vitu vingi tu kuusu wewe akifika mahali fulani mlio pita atakumbuka tulipofika apa niliongea kitu fulan akatabasam that's love

Mkifanya ivyo sehem tofauti tofauti Yani hospital mtaani tu magetoni kwenye michezo kwenye shows mtakua mmetengeneza bond ambayo sio raisi kufutika that's love .. sio lazima kila siku mue pamoja ila walau Mara 3 kwa wiki mfanye ivyo mbona wazungu hufanya ? Au tunaoneana aibu au tunaofia kujidhibia ridhiki ? Kwamba atuwezi pata madem wengine ?

Mapenzi yakibongo utasikia morning, mchana mwema, usiku mwema , weekend uje bas baby , mhh tutaangalia my af my ninashida ya buk 10k .. poa my nitakutumia .. this sh*t after 3 months lazima awa watu wa break up ..

YOUR GIRLFRIEND/ BOYFRIEND MUST BE YOUR HOMIE EVEN YOUR WIFE/ HUSBAND

mke wako ndo mchizi wako demu wako ndo mchizi wako .

NB: better Wear a condom and be a Hustler . Kwenu wakuu.
 
Tukaambie af kaje kashindwe kupandisha uzi wa malalamiko?
Tukaache kabisaa. Hii movie bado mpya. Tunangoja ending ya uzi wa kupigwa kitu kizito
Mapenzi yakuonana Mara moja kwa mwezi mi 3 Yana bore Sana mkuu
 
Mi naona mtoa mada Katoa mawazo yake na mtazamo wake,mi naona kwenye mapenzi kuna mambo mengi Sana na hayana formula,itategemeana we na mtu wako mnapenda nini,ingawa nakubaliana na wewe kupata Mda wa kuwa pamoja na kushare wakati wenu unaleta athari nzur ktk mahusiano yetu.

Hii Ngoma mpaka uingie ndo utajua inachezwa vipi
 
Kuna waliokulia sehemu moja au mtaa mmoja lkn walipokuja kuingia kwenye mapenzi ikawa hatari.

Formula ya mapenzi bado haijagunduliwa.
 
Umri wako tafadhali, kisha utupe experience yako kiujumla.

Nazingua tu hata uzi sijasoma wote
 
Back
Top Bottom