Njia rahisi ya kuwachanganya wanawake akili

Njia rahisi ya kuwachanganya wanawake akili

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Hii ni njia nyepesi mno, ila inafanya kazi kwa asilimia 99 kwa wanawake wanaohiitaji kuingia kwenye mahusiano makini.

Achana na hawa wanawake wenye njaa ambao baba zao na mama zao wameshindwa kuwapa maisha mazuri wanatengemea wakayapate kwa vijana wa watu.

Yaani maisha aliyoshindwa baba yake analazimisha vijana wa watu waumie ili yeye apate maisha mazuri. Tuachane na hawa mazwazwa!

Turudi kwenye njia yenyewe, hii njia ni fupi mno. Mtumie ujumbe yenye jina lake lililo andikwa kwa ufasaha na ubini wako. Mfano jina la mwanamke Monika, na ubini wako wewe ni john domozege, kwaiyo andika Monika domozege halafu jikaushe na usitume ujumbe mwingine hadi aje akuanze yeye.

Hii huwa inawapagawisha sana na kuwafanya wajisikie poa sana na nakuapia hachukui round, ndani ya mwezi anakua wako na akija usioneshe utoto, uwe makini na ucheze karata zako kama kweli unania naye ya kumuoa. Na usimbembeleze sana, maana hapa yeye ndiyo ataonesha juhudi sana.

Jaribisheni alafu leteni mrejesho, maana kwangu tangu nianze kuitumia haijawahi niangusha.

Kazi ianze wadau!
 
Back
Top Bottom