intelelect
Senior Member
- Jul 8, 2022
- 190
- 288
Mjomba Mwaisa hapa nilikua na mmendea manzi mmoja hivi, sasa siku ya jana akanipatia namba. Leo baada ya kumtafuta mida mida fulani vile mtu mbadi napanga miadi usiku tuonane, ghafla anatuma ujumbe nitumie pesa nikasuke halafu baadae ntakwambia uje kwangu, siyo mbali na hapo ulipo.
Mwanaume siwezi kuja kwako, pengine ni mke wa mtu, Yaani siwezi Kuja kwako. Nikampanga kama vipi usiku ntakwambia uje sehemu fulani halafu ndiyo ntamaliza kila kitu.
Akili yangu ni kumnyadua tu! Basi acha anijibu ooh mimi siyo malaya, kama vipi futa namba zangu na usinitafute tena. Aloo, mtu mbadi nimecheka sina mbavu.
Hamna pesa za bure sasa hivi dada ati, wanaume tunajielewa. Toa utelezi tumalizane, sitaki mambo ya baby baby, hapana.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app