Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
322
954
Salaam ndugu zangu humu.

Naomba kufahamu kwa anaejua kama kuna madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu hasa kwa mwanaume kama yapo na kama yapo ni yapi?

Naomba ushirikiano wenu.
 
1.hutobadilisha/itakuwa mvivu kubadilisha/kusafisha nguo za ndani kijana(utakuwa mchafu)
2.utapoteza confidence kwenye kutongoza,show na unaweza kuhisi kukosa nguvu za kiume
 
Hakuna madhara kikubwa tafuta pesa utawakuta wamejazana kibao Riverside na Mansese Daraja ni wewe tu na wallet yako vyumba wanavyo unachagua unataka kavu au utembelee na condom

Hayo sio maneno yangu lakini nimesema tu

Nitakuja tena...
 
Kama unaweza kukaa bila kufanya mapenzi, na pia hujihusishi na kupiga punyeto hongera sana.

Hakuna madhara yoyote. Jambo la msingi fanya mazoezi tu na focus kwenye kufikia ndoto zako.

Ukiwa mtu wa ibada itapendeza zaidi. Hakuna litakalo shindikana kwako.
 
Back
Top Bottom