kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa saana nje
Wazazi punguzeni mahari, joto la watoto wenu hatufaidi sisi peke yetu tu. Kuna wengine ambao hawakuchangia chochote wanafaidika na jasho letu, tena kwa bure kabisa. Na inawezekana tunaishi na watoto wa wanaume wengine kwa kudhani ni wetu!