Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
DUME ZIMA LIMEONGEZA UKUBWA WA KOJOLEO.
Unakuta limtu eti limeenda kwa mganga au maduka ya wachina kununua dawa ya kuongeza ukubwa wa uume.
Nani alikwambia wanawake wanataka kojoleo kubwa? Unajua wanapojifungua ukubwa wa kiumbe kinachotoka? Sasa unaongeza nini?
Uume huo huo ulionao unatosha, jifunze tu jinsi ya kuutumia kwa mwanamke. Mnafikiri wanawake huwa wanapenda muongeze? Wanawavumilieni kwakuwa siku hizi kuolewa imekuwa kama tetemeko la Bukoba.
Ndugu zangu wanaume wenzangu, jijue umbo lako kwanza ndio ujue aina ya mwanamke unayetakiwa kuwa naye. Kuna wembamba, kuna wanene, kuna wafupi nakuna warefu na kila mwanamke ana aina yake ya uume wa kuendana naye japo si lazima itokee hivyo Mara kwa Mara.
Tulitegemea utaenda kwa mganga au maduka ya wachina kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume kama una tatizo. Japo Mara nyingi huwa ni stress tu zinawachanganya mnakimbilia madawa.
Jifunze kucheza na mwili wako, kojoleo likiwa fupi ukipata stimu linarefuka na kuwa nene, kojoleo likiwa refu ukipata stimu linanenepa. Sasa unatumia madawa ya kukuza uume ili iweje? Hujui mapenzi? omba ufundishwe. Tatizo wameondoa Jando.
Uume ulionao unatosha mzee, unapoliongeza linakuwa linainama chini kama papai na linakosa stamina. Yaani badala ya kumridhisha Mwanamke inakuwa karaha. Usishangae mkeo akatoka nje kwa karaha hiyo ili hali unajisifia kwa kojoleo kubwa (kojoleo la kichina). Najua mmekasirika lakini ni bora tuambizane ukweli kwa vijembe ili tufunguane maakili.
Nawapenda sana mazee; Operesheni Nenda Ukatahiriwe.
Deogratius Kisandu.
ONDOA ULIMBUKENI, OKOA MWANAUME.