Kuringaringa kunavyowaponza mabinti

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,088
20,477
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!

Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja, wanahug, wanakiss, wanacheza pamoja but responsibly coz wanafundishwa elimu ya afya ya uzazi mapema.

1. Hapa kwetu binti akiwa na miaka 13 anaambiwa, ‘Usicheze na wavulana ni mashetani wakubwa, na ole wako tukukute na wavulana, utahama hapa nyumbani’ Hapa binti anaanza kuwaona wavulana km viumbe hatari sn.

2. Akiwa na miaka 20 wazazi wanamuambia ‘Kwa kweli Sisi wazazi wako hatumpendi yule mvulana unaefuatana nae’ binti anazidi kujiweka mbali na wanaume.. hapa ndo anaringa balaa.

3. Akiwa na miaka 25 wazazi wanaanza ‘Vipi mama? Kimya, hujatuletea mwenzio yoyote kututambulisha’ hapa ndo binti akifuatwa anadengua kidogo kumbe anataka.

4. Akiwa na miaka 28 wazazi wanakuja juu 'Wewe vipi wenzio wote wameolewa, unasubiri nini’ hapa ndo kile kibinti kilichokua kinakuringia kinaanza kukutumia vitext vya kipuuzi.. mara mambo, mara nimekumiss. Umenimisd my foot?

5. Akiwa na miaka 30 wazazi wanasema 'Tumeshakuonya acha kuchagua wanaume.. we vipi?’ binti anapanick, anatamani kuolewa lakini alisharingaringa sana.

6. Akiwa na miaka 33 wazazi wanamuita kwa mazungumzo ‘Kuna mzee mmoja kule Sumbawanga tumesikia anaweza kuondoa nuksi, twende tukupeleke’ binti anaanza kuwaza kuvuta mume kwa tunguri wakati wakati aliringa mwenyewe.

7. Akiwa na miaka 38 wazazi wanamuita tena "Kuna Mchungaji Mabibo wanasema ukifunga wiki tu
unafunguliwa’ Binti anafunga na kuomba mara kubadilisha makanisa lakini hafanikiwi.

8. Akiwa na miaka 40 wazazi wanamuambia "kuna mzee mmoja kafiwa na mkewe anatafuta mke wa kumpunguzia mawazo, unaonaje tukupe namba zake? Hata huyo ni sawa tu.. usichague sana.. tufariji wazee wako tuone japo kajukuu’k'

NB: GIRLS PLZ BE CARE.. KURINGA RINGA NI HATARI KWA MAISHA YAKO
 
Sio kweli kwenye kuolewa mabinti kuna mambo mengi lazima mabinti nao wasikilizie maana wanaishia kuliwa kimasihara na hawaolewi,

Na jambo lingine ni kuwa yule ambaye hana mpango wa kuoa akimwendea binti hakatai analiwa tu,
Yule mwenye penzi la kweli mpaka kuoa akienda anasumbuliwa mpaka wakati mwingine anaacha kumfatilia binti anakataa tamaa,

Na wakati mwingine kuna koo huwa zefungwa na nguvu fulani mabinti wao hawaolewi.
Na waweza kuta kuna binti ni wa kawaida sana hana mvuto wa sura wala umbo lakini anatafutwa na wachumba wengi sana.
 
Mwanamke lazima aringe Ila kwa kiasi sababu too much is harmful
 
Kwenye mahusiano unayempenda hakutaki na anayekupenda humtaki Kam mwanamke inabid ukubaliane na yule anayekupenda kwenye maisha sio kila uamuz tunaofanya ulikua first choice
Ndio ilivyo sasa wadada inapelekea anaona umri unaenda inabidi aolewe na yeyote tu 😂😂
 
Sio kweli kwenye kuolewa mabinti kuna mambo mengi lazima mabinti nao wasikilizie maana wanaishia kuliwa kimasihara na hawaolewi,

Na jambo lingine ni kuwa yule ambaye hana mpango wa kuoa akimwendea binti hakatai analiwa tu,
Yule mwenye penzi la kweli mpaka kuoa akienda anasumbuliwa mpaka wakati mwingine anaacha kumfatilia binti anakataa tamaa,

Na wakati mwingine kuna koo huwa zefungwa na nguvu fulani mabinti wao hawaolewi.
Na waweza kuta kuna binti ni wa kawaida sana hana mvuto wa sura wala umbo lakini anatafutwa na wachumba wengi sana.
Hili linaukweli kabisa
 
Back
Top Bottom