Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,002
2,000
T
Mkuu hapo sikuungi mkono, wanawake wote hizi siku wanajifungua watoto wazuri sana si wa kike wala wa kiume, unaweza kukuta mwanamke ana sura kama ya ndugu yet aliyeoa juzi lakini akaja zaa kisu kimoja cha maana
Nimezumzia wanawake warembo wengi Wao, huwa wanazaa watoto wenye sura mbaya, nahisi wengi Wao wanazalishwa na wanaume wenye sura mbovu
 
The iron batterfly

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
1,957
2,000
Mkuu hapo sikuungi mkono, wanawake wote hizi siku wanajifungua watoto wazuri sana si wa kike wala wa kiume, unaweza kukuta mwanamke ana sura kama ya ndugu yet aliyeoa juzi lakini akaja zaa kisu kimoja cha maana
Ukiona hivo yule mwanamke ni mzuri hatari,ana genes nzuri
Hao mnaowaona warembo ama wazuri ni uzuri wa dukani tu
That's y mie nasemaga ukitaka jua uzuri wa mwanamke subiri watoto atakao zaa full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,183
2,000
Sasa Kama pussqueen. Sijui ndo anaitwa hivyo.
Mtoto wake unahisi atarithi zile hips za kichina na sura iliyochongwa atarithi Vitu natural vya pussqueen na si vya mchina.
Ila vingine tumwachie Muumba maana yeye ndo mwamuzi
 
Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,002
2,000
Kuna tofauti ya urembo na uzuri!
Mwanamke mzuri lazima azae mtoto mzuri lakini mrembo atazaa mtoto anayefanana na mamake lakini baadae ndo atakuwa mrembo!

Ila wote watabaki kuwa watoto tuu na Muumbaji ni Mungu!
Mimi Sijasema sio wa Mungu, msianze kubadisha mada.. Kwa wanapowatafuta Mr. Ubaya kwenye mashindano, Kwani siwanaenda wenyewe huku wakijua fika wanasura mbaya.. So, ni jambo lilopo kwenye jamii na inawaingizia hao watu kipato
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
15,681
2,000
Kuna tofauti ya urembo na uzuri!
Mwanamke mzuri lazima azae mtoto mzuri lakini mrembo atazaa mtoto anayefanana na mamake lakini baadae ndo atakuwa mrembo!

Ila wote watabaki kuwa watoto tuu na Muumbaji ni Mungu!
Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji....kile kibaya kwake mwingine ni kizuri, halafu pia tutaulingia uzuri wakati kila mmoja wetu ataonja mauti na atarudi udongoni?

Anything for love
 
Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,002
2,000
Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtazamaji....kile kibaya kwake mwingine ni kizuri, halafu pia tutaulingia uzuri wakati kila mmoja wetu ataonja mauti na atarudi udongoni?

Anything for love
Kama ni hivyo mkengepiga marafuku mashindano ya miss, Mr. Na mashindano ya ubaya.

So, ni kweli Kuna watu wenye sura mbovu na nzuri,sio habari Sijui tutakufa Ooh, sijui Dunia ya kupita, msianze kukumbilia huko mjibu hoja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom