Nimemfuta kazi Katibu wangu kwa kuanza mazoea na mke wangu

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,979
28,506
Katibu bye bye.

Katibu wangu alikuwa mtu wa Songea, Mmatengo, ni mchapakazi hodari sana na anajituma sana. Kilichofanya nimfute kazi kwanza kuanza kumpigia simu mke wa bosi wake saa mbili usiku kosa la kwanza.

Kosa la pili kwa nini mke wangu anamtajataja sana Katibu, kidogo Katibu hapa nimestuka.

Kosa lingine Katibu kuanza kujifanya anakuja nyumbani kwangu anafuata nini? Hapa lazima kuna kitu.

Katibu yamemgharimu hayo makosa lazima tuwe tunastuka hawa makatibu sio wa kuwaamini.
 
Katibu bye bye.

Katibu wangu alikua mtu wa Songea, Mmatengo, ni mchapakazi hodari sana na anajituma sana. Kilichofanya nimfute kazi kwanza kuanza kumpigia simu mke wa bosi wake saa mbili usiku kosa la kwanza.

Kosa la pili kwa nini mke wangu anamtajataja sana Katibu, kidogo Katibu hapa nimestuka.

Kosa lingine Katibu kuanza kujifanya anakuja nyumbani kwangu anafuata nini? Hapa lazima kuna kitu.

Katibu yamemgharimu hayo makosa lazima tuwe tunastuka hawa makatibu sio wa kuwaamini.
Naomba hio kazi kabisa.mkuu..

mimi ni mkurya, mapenzi siyajui kabisa😂😂
 
Utafaidi nini kumfukuza katibu wakati mkeo atatumia mda wako wa kazini kumuita au kumfuata aliko,anyway angalia sana usalama wa ofisi kabla ya yote
 
Nafikiri ulitakiwa ummalize kabisa

20220915_141520.jpg
 
Sawa boss mm narudi zangu Songea lkn hakikisha hiyo damu yangu niliyofanana nayo macho, komwe na pua unaitunza. Tutaonana wabaya nikija sikia copy yangu inateseka.
 
Tutumie picha yako,ya katibu na ya mtoto wako kama mmezaa na mke.

Hatuna cha kufanya Leo, tuifanyie kazi tukuharibie siku.
 
Umemfuta kazi ya ukatibu lakini hujamfuta kazi ya mchepuko...

Kifupi umeua tembo kwa ubua
 
Back
Top Bottom