Naomba kujua taratibu za kuvunja ndoa ya kikristo

Kuna namna mbili tu ndoa ya Kikristo inaweza kuvunjika

Moja ni kwa mmoja wa wanandoa kukosa uaminifu katika ndoa (uzinzi)

Mbili ni kifo

Kwa hiyo ili ivunjike inabidi aidha umuue mkeo au umkamate akizini hapo unaweza kwenda kwa kiongozi wako wa kidini na ukaanza process za kuivunja

Kinyume na hapo mtaishi mpk mwisho wenu

Ila tahadhari mkuu usiingie na mawazo ya kuvunja ndoa maana yale uwazayo huweza kutokea na ukawa na maisha mabovu ya ndoa siku zako zote.

Omba Mungu akupe ubavu wako ulio sahihi
 
Wewe hata ukuja kuoa ndoa yako haiwez kuwa na aman lasivyo jiandae yani simba hujamuona tayar unamuwekea mitego
 
Wakuu msipate tabu na huyu,umri bado mdogo nina experience na hili jambo.mdogo'angu kwa shangazi kuna siku alinifuata akaniuliza kitu kama hiki japo ktk maudhui tofauti.aliniuliza "hivi mfano nikiowa mwanamke akanibadilikia huko mbeleni si nitaweza kumfukuza tu me nikaendelea na maisha yangu?", nilimwangaliaa nikamwambia kwa ushauri wangu em tulia kwanza hadi mwakani tutazungumzia hili jambo vizuri ila wakati huo huo jaribu kutusoma siye wakubwa zako tunavyoishi na hawa watu na alinisikiliza.ajabu sasa yeye ndiye amekuwa wakati mwengine ananishauri vitu fulani fulani vya kifamilia so nikusema akili ikipevuka wala swali hili hatakumbuka kuuliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom