Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana ndugu habari Weekend hii Napenda sana kuogelea nipeni location basi [emoji2112] [emoji2113] [emoji474] (to swim)
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau ni hivi kabla hauja anza kuchepuka anza kwanza na kumpenda mkeo na familia yako na kumjari hata ya kinafki. Kwa nini unatakiwa ufanye hivyo ni kwamba wewe unapo enda huko nje Unaenda...
3 Reactions
12 Replies
888 Views
Wanawali 60. Wakali kwa types nitakazo mimi. Tena wote nawakuta bikra...so naanza nao mwenyewe. Ndo maana nikiwaangalia wanawake siku hizi wanasema nmekuwa na kiburi na dharau. Ni kweli sikatai...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli? Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa? Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa. Poleni sana dada zangu...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Njia za Ufungaji wa Tai (Tie) Tie a bow tie. Step 1: Make a simple knot, allowing slightly more length (one to two inches) on the end of A. Step 2: Lay A out of the way, fold B into the...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Manipulators katika mahusiano; Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta...
20 Reactions
162 Replies
12K Views
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Hawa sio watu wa kuwapa attention. Hawa sio watu wa kuwapa sehemu ya mioyo yenu, Hawa sio watu wa kuwaruhusu wa-share experience, importance na gift ya maisha yako, Hawa sio watu wa kuhudumia...
2 Reactions
1 Replies
464 Views
Nimesoma post zake za Instagram Sirjeff deniis, inaonekana jamaa he is very smart, huku jf anatumia jina la ontario, ni mchakarikaji, anafanya kazi kwa bidii sana, kama anayoongea ni kweli, bhasi...
7 Reactions
111 Replies
26K Views
Watu wazima wenzangu na vijana mnipwawa! Tuanze na hili, bi mkubwa anacheza vikoba mzee anamkataza ilhali hana chanzo kingine cha kuongeza mapato isipokuwa vikoba. Kama hiyo haitoshi, siku ya...
5 Reactions
80 Replies
3K Views
Wakuu! Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi. Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
*INASEMEKANA:* _*Idadi ya watu inafikia bilioni 7.8 dunia nzima.*_ *Wanawake ni bilioni 5.6 Wanaume ni bilioni 2.2.* _*Hapo utaona busara inamtaka kila mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa...
10 Reactions
123 Replies
8K Views
Mdada anayekataa kuingia kwenye ndoa kwa kisingizio cha "bado sijakamilisha mambo yangu". Huwa ana maana gani? Anajenga au anafungua biashara? Au nn? Kwani mambo hayo hawezi kuyakamilisha akiwa...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Vijana hamjambo? Leo niliikuta namba ya rafiki wa kike wa kijana wangu ambaye anapenda kuvaa mno. Inaonekana hakuwahi kumtongoza, na jina la huyo binti nalifahamu anaishi mtaani hapo hapo. Kama...
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Nimekuwa nikiona picha za familia mbalimbali na pale ambapo mmoja wao ana sura au mwili usioumbika vizuri unakuta karibu watoto wotee wanafana na yule mbovu, na yule mzuri anakuwa hajaambulia...
1 Reactions
5 Replies
576 Views
Kuwa na mchepuko ni siri chafu ya mwanamume aliyeko katika ndoa ya - siri hiyo huenda sambamba kwa mwanaume kumdanganya mke wa ndoa kuwa anampenda yeye tu! Akiingia mtaa wa pili ana mchepuko, huko...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari, "But at the end one needs more courage to live than to kill himself" ~Albert Camus 1. USAFI Ni muhimu kila mmoja wetu kuwa msafi, hii ni kiafya na kukufanya wewe binafsi na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12...
2 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari wajumbe na Heri ya mwaka huu mpya. Mwaka uliopita nilipita nao vizuri sana lakini huku mwishon kabsa kwenye kuufunga na kufungua mwaka bado ni shubili. Tatizo Baada ya kwend kusailimia...
10 Reactions
170 Replies
8K Views
SIJAWAHI KUOA NA SIFIKIRII KUOA KABISA "MUIGIZAJI STEVEN NYERERE. Mwigizaji na Staa wa Bongo movie Kutoka nchini Tanzania Steven Nyerere,amesema kuwa yeye tangu azaliwe hajawahi kuoa na hafikirii...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom