Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike. Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa...
30 Reactions
242 Replies
8K Views
Habari. Mimi ni mzee na mgeni humu JamiiForums, mtoto wangu amenifungulia akaunti. Nina humli wa miaka 79 na nina nguvu za kunitosha. Nina mke wangu ana miaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano...
24 Reactions
120 Replies
7K Views
Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu. Nianze...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna binti tulikuwa tunasoma naye Binti huyo alikuwa mzuri saana wanafunzi wenzangu na baadhi ya walikuwa wana data na uzuri wa binti huyo Hata mimi pia nilikuwa natamani saana kutoka naye lakini...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Wakuu, Nimeshangaa sana. Kuna jamaa mmoja ni mhaya, ana hela hela. Sasa ana guest house kadhaa maeneo tunayoishi. Huyo jamaa ana mke mrembo, mdogo bado, ndo kwanza alimaliza kidato cha sita...
21 Reactions
51 Replies
6K Views
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama...
31 Reactions
302 Replies
16K Views
Naomba kuwauliza kina dada humu ndani, kuna binti mmoja nilitaka kumuoa lakini akanikatalia kwa kigezo hawezi kuolewa na mimi kwa sababu ni bosi wake. Kiukweli huyu binti nilitafutiwa na mtu kwa...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu zangu Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano...
4 Reactions
114 Replies
8K Views
Wazee MSAADA kuna Ndugu yetu amekata shauri la Kuoa, na Mke anayetaka kuoa kabila lao ni Wakwere. Kwa anayejua tamaduni za Wakwere kwenye kupelekewa posa na namna Barua inavyoandikwa (Kama kuna...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni...
2 Reactions
1 Replies
531 Views
1. Kuna siku nlikuwa naitwa na mwaamke niende kwake nikamle, na wakati huo huo kuna jamaa yangu anajisikia vibaya kanipigia simu yupo home. Nlikataa kwenda kwa mwanamke nikaenda kwa jamaa...
42 Reactions
41 Replies
4K Views
Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa...
11 Reactions
17 Replies
957 Views
Watu wanaonewa Sana kwenye ndoa. Mtu anajitahidi kutunza ndoa Kwa akili na Moyo wake wote lakini mwingine anachukulia advantage kumtesa mwenzake. Wewe ni mtu aina gani huna huruma Kila siku...
4 Reactions
14 Replies
802 Views
~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin ~Watu hawa wanaitwa Alpha Males ~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi...
18 Reactions
24 Replies
4K Views
Itifaki izingatiwe - Mimi ni mkristo Kuna dem nimempangia sehem hivi karibuni sasa kwa bahati mbaya tumekuja kugundua kuwa nilipompangia ni pemben ya kanisa (haya ya kilokole ambayo ibada ni kila...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
Leo katika tafakari yangu na tathmini; nimegundua nina watoto nane, na wanaotambulika na mama zao kuwapa jina langu ni sita, wakike 3, na wa kiume 3; wa nje ya ndoa 3 mama tofauti. Changamoto...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma! Kuna mwanamke humu kapost anataka mume, mimi nikampandia hewani...
75 Reactions
480 Replies
31K Views
Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake...
4 Reactions
106 Replies
7K Views
Hello ndugu zangu! Binafsi ninaleta leo kisa kimoja ambacho sikuwahi kukileta humu. Wakati nasoma advanced level nilikuwa Beta guy aka a nice guy. Nakumbuka nilikuwa na hela ila sikuambulia...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi. Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu...
20 Reactions
125 Replies
10K Views
Back
Top Bottom