Ni muhimu ila kwa mwanamke ni muhimu zaidi

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,270
Habari,

"But at the end one needs more courage to live than to kill himself" ~Albert Camus

1. USAFI

Ni muhimu kila mmoja wetu kuwa msafi, hii ni kiafya na kukufanya wewe binafsi na wanaokuzunguka kuwa comfortable. Lakini ni muhimu zaidi mwanamke kuwa msafi, mwanamke usafi bwana.

Tunaposema mwanaume anaweza kudata na mguu tu wa mwanamke tunaamanisha mguu msafi, yani unakutana na toto safi mpaka unajisemea "Hili toto likinipa mi ntalamba hadi unyayo", mi ni miongoni mwa wale wanaume ambao mbele ya mwanamke mchafu siwezi hata kusimamisha.

Nyumba ambayo ndani yake kuna mwanamke msafi utaijua tu na nyumba ambayo mwanamke aliolewa Kwa kigezo cha makalio pia utaijua tu.


2. HAYA(AIBU)

Tofauti yetu sisi na wanyama (basically hata sisi ni wanyama) ni huu upeo wa kutofautisha baya na jema, na ndio hii haya au aibu inatufanya tushindwe kufanya mambo fulani fulani.

Na sheria nyingi msingi wake ni aibu tu, yani ni common sense tu, tutakushangaa mwalimu unayetaka kumvua chupi mwanafunzi wako.

Lakini haya/aibu ni muhimu zaidi kwa mtoto wakike, aisee mwanamke aliyekosa haya shetani mwenyewe haingii niaminini mimi.

Mwanamke aliyekosa haya ni hatari sana kuanzia yeye mwenyew, wanaomzunguka, jamii yake na taifa Kwa ujumla.

Mwanamke kuwa na viabu aibu basi, kuwa na haya, mambo mengi sana msingi wake ni aibu, mwanamke anayeona aibu kuvaa nusu uchi sijui anachukuliaje kumsaliti mumewe.

Funny fuct: it turns me on nikiwa naongea na mwanamke akawa anakuwa na viabu aibu.

Note: Siyo asijimani no, awe na aibu.


3. UZINZI

Uzinzi ni mbaya, ni uchafu, haufai, ni uozo, siyo njia nzuri hata kidogo hii ni kwetu sote wake kwa waume lakini tukubali tukatae uzinzi unamcost zaidi mwanamke kuliko mwanaume (kuna member alileta uzi umu kuhusu ili suala).

Mwanamke mzinzi anavingi vya kupoteza kuliko mwanaume, achana na ukweli wa kipumbavu kwamba mwanaume mzinzi ni shujaa halafu mwanamke mzinzi ni malaya.

Ndio maana ni rahisi zaidi kuisikiliza kesi ya mwanume kuchepuka lakini siyo mwanamke, mwanume mzinzi hafai lakini mwanamke mzinzi hafai hata kidogo.


4. MAOMBI

Kama uongozi wa familia baba na mama mnatakiwa kuiombea amani familia yenu Kila siku, amani hapo tumejumuisha pesa, kuchepuka, msikutwe na majanga na vitu kama hivyo.

Lakini mwanamke inabidi uwe mstari wa mbele kuiombea familia, simaanishi mume asiombe ila amini kwamba kichwa cha mwanaume ni cha moto sana, kina mambo mengi.

Mwanamke mumeo akichepuka muombee aiache hiyo tabia sio na wewe unaenda kuchepuka, sio dawa, sio jibu na mwisho wa siku wewe mwanamke ndio utashindwa (rejea point namba 3).


5. NDOA

Ukweli ni kwamba mwanaume siyo mlezi in nature, mwanaume ni jogoo hajaumbwa kukaa na vifaranga, sawa atakaa navyo katika mazingira fulani ikilazimika lakini kuna mahali atafeli tu baada ya kutumia nguvu nyingi sana.

Kama mwanamke inabidi uwe na msimamo sana kuhakikisha kama familia hamtawanyiki, yani mwanamke ndio uwe na uchungu sana wakuvunja ndoa kuliko mwanaume.

Pigania wanao walelewe chini yako na baba yao, tena baba yao mzazi, sio una watoto watano Kila mmoja baba yao, sasa hiyo ni familia au kikundi cha wavuta bangi ambao giza likiingia Kila mtu anaelekea maskani kwake.


6. ULEVI

Sio Kila mnywaji ni mlevi, lakini walevi wote ni wanywaji. Kuna kule kunywa kiustaarabu ambako, akili haziruki, unarudi zako home on time, yani unakunywa lakini huairibu afya, usalama na ratiba zako za kila siku, huku tunaita kunywa.

Ulevi ndio kule mpaka kujinyea, umeondoka leo nyumbani unarudi keshokutwa, leo umeenda viwanja mpaka kesho umechelewa kazini.

Sasa hii ni bora kwa mwanaume, mwanamke unakuaje mlevi kupindukia?, atakuoa nani? yani unalewa mpaka unavua chupi? Mwanamke, analewa mpaka wanaume wanakusomba tu wanenda kujilia vyao, mwanamke?? How?

7. CAREER AND FAMILY

ikitokea wewe au mume wako inabidi mmoja akasome, mwache mumeo akasome.

Hii eti siyo wewe ni inferior, siyo kwamba wewe huna akili, siyo kwamba mwanaume anastahili sana hayo ma PHD hapana, kiasilia mwanaume ndio mtafutaji, na sikutukani nikukuambia mwanamke aliumbwa aletewe.

Huku kujiangaisha kwenu mnajizeesha tu, hamkuubwa mteseke, halafu haya maPDH ma dagree mwisho wa siku ni vyeti tu, at the end utakuja uone it's family that matters the most.

Kwa leo naomba tuishie kwanza hapa.

It's me Dr criminal
 
Hyo 1 hapo cjui n mtagi niliyekutana naye umuu..
Dem hata chombo alichotumia kwa kulia chakula kukiondoa tu mezan n kazi sembuse kukiosha alafu alinimbiaa anatakaa ndoaa...
Mpenz kiukwel soma comment yangu upite kimya kmya ilaa ndan ya 6x6 unayajuaa aiseeee..


Badilika mwanamke usafi haiwezekan na urembo wt huo hata kitanda uwezi tandikaa


ALAFU MM C MUOAJI ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom