Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Izogi

Senior Member
Joined
Dec 4, 2014
Posts
168
Reaction score
212
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.

Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
 
Ila binadamu tuna shida sana. Yani mtu akikupa uhuru unalalamika kwamba hajali. Angekuwa anakufuatilia kila unachofanya napo ungekuja kulalamika kuwa mumeo ana wivu kupitiliza.

Wewe ridhika na hali hiyo ilimradi haki yako ya ndoa unapata (mjegeje) na pia matunzo yako na wanao unapata na pia mume anakuheshimu na hajawahi kukuonyesha michepuko yake.

Wenzako wanatamani hayo maisha.
 
Moja kati ya kazi ngumu Duniani ni kuishi na kiumbe mwanamke......pamoja na manufaa na faida lukuki lakini muumba ametuletea dhahama wanaume Duniani.......

Ama kweli ukiona unaanza kuwaelewa wanawake basi ujue huna Siku nyingi za kuishi hapa Duniani....
Umeniwahi.
Wengine wanahangaika kuloga amtawala mwanaume ili apate nafasi ya kufanya chochote muda wowote
Huyu yeye amepewa nafasi ya kufanya chochote inamuumiza..
AJABU AJABU AJABU SANAA..
 
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.

Angekupa utaratibu wa kuishi pia ungelalamika kwamba anakubana.

Mwanamke ni mtu maalumu.
 
Moja kati ya kazi ngumu Duniani ni kuishi na kiumbe mwanamke......pamoja na manufaa na faida lukuki lakini muumba ametuletea dhahama wanaume Duniani.......

Ama kweli ukiona unaanza kuwaelewa wanawake basi ujue huna Siku nyingi za kuishi hapa Duniani....
Ukiwa busy na kazi ni shida, ukiikosa na hiyo kazi ni shida tupu. Tuishi nao kwa akili
 
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
Mkibanwa banwa sana mnalalama msipobanwa banwa mnalalama mnataka nini?
 
Aisee naona anaufuata ushauri wa mwenyekiti dronedrake,, Chaliifrancisco
IMG-20190928-WA0001.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom