Ushauri: Shemeji yenu alinasa ujumbe na kugundua nimechepuka, nataka kurudisha mahusiano mahala pake

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,214
5,444
Habari wajumbe na Heri ya mwaka huu mpya.

Mwaka uliopita nilipita nao vizuri sana lakini huku mwishon kabsa kwenye kuufunga na kufungua mwaka bado ni shubili.

Tatizo

Baada ya kwend kusailimia familia kipindi cha likzo fupi mwisho mwaka shemeji yenu alinasa ujumbe wa SMS, mbaya zaid SMS hizo zimeziilsh kuw mchepuko huja nyumbn ambako awali nilikuw naishi na shemeji yenu na mchepuko ulikuwa umetum ujumbe kuw ana mimba yangu kiuhalisia han mimba lakn sasa tuna mategemeo ya kuhama na yeye na familia nimeshawahamisha.

HOJA
Mimi nimemuumiza sana japo yeye alipekuwa cmu nikiwa nimelala na mimi nilishaachan na huo mchepuk wik 2 nyum kabl ya kwenda kwa shemeji yenu na sasa mimi nipo mbali nae kiutafutaji.

Hadi sasa naongea na shemeji yenu kwa mashaka leo amefikia kunielezea matukio yote sijamp jibu la msing zaidi ya kuwa kimya na kuumizwa kwa kile nilichomtendea.

(Hii ni kesi kubw ya wazi hadi nakosa na namna ya kujijiitea)

NAMNA YA KUTATUA TATIZO

Nimewaza kumaliza hili swala kwa kutokubali lakn kwa kumsihi tu arudishe majeshi nyuma.

Napokea mawazo yenu na ushauri wenu ili kufikia wiki ijayo niwe nimerudsh mawasiliano/ mahusiano mahala pake.

NB: Nahiii ni January sina ata jeuri ya kwend kuw nae Pamoja kwakuw sina salio maan bajet ya nauli sio chin ya 200,000/- go and return pamoja na kula.
 
Polee Sana mkuu wanakuja kutoa neno si unaona sahivi saa kumi wajuba wamelala bado

Ila next time uandike vizuri taratibu muda unao mzuri Kama huu watu bado wamelala maana paragraph za juu umeruka ruka na kuacha maneno haielewek
 
Shemeji yako wa like au wa kiume? Na kwa nini apekue simu yako?

Pole Sana, kaa/mpigie simu uongee nae ukiweka msisitizo wa yeye kutoa Siri kwa ndugu.
 
Back
Top Bottom