Kabla hujaanza kuchepuka, hakikisha unampenda mkeo kwanza

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Wadau ni hivi kabla hauja anza kuchepuka anza kwanza na kumpenda mkeo na familia yako na kumjari hata ya kinafki.

Kwa nini unatakiwa ufanye hivyo ni kwamba wewe unapo enda huko nje Unaenda kuharibu hivyo hakikisha hauharibu kote Kuwili.

Pia itakufanya uongeze ulinzi kwenye familia yako na kuifanya kuwa imara lengo ni watoto kuwa imara na kuto zurika kivyovyote na madhira za kuchepuka.

Mkeo akijihisi anapendwa na umemhakikishia kuwa yeye ndio yeye hapa itampa confidence na kujiamini sana juu ya ulinzi wa nyumba yake.

Pia itakufanya upunguze kuhisiwa na mkeo kama unachepuka na hili ndio kubwa kuliko maana kwa sisi binadamu wajanja pale usipo tuzania ndio tunafanya kimya kimya ukija kuanza kutuzania na kuanza kutuwinda ndio hatufanyi kabisa ili upoteze muda wako kutuchunguza na siku ukimaliza kutuchunguza na kujiridhisha tupo sawa ndio siku unatupa go ahead ya kufanya.

Na ukianza kuchunguzwa punguza baadhi ya huduma alizo zizoea na akikuuliza kwa nini mjibu kwa sababu anakuzania mambo ambayo hufanyi hivyo anakunyima raha na kukupa stress ambazo zinapelekea usofokasi kwenye kutafuta hela vizuri na ubakie kuwaza ujinga wake. Hapa ataacha chap ...akiacha tu lianzishe tena kumpenda na kuanza kula michepuko.


NB
Jaman michepuko ni kwa ajiri ya fantasies tu sio kwa ajiri ya kutesea watoto, kama unalaki ya kwenda kutumbua na mchepuko basi chuja 60 na 40 wape mkeo nao watoke out wakale pizza na kubembea huko
 
Kwani mtu ukitulia kwenye ndoa utapungukiwa nn? Hasa huyo mke asiwe mkorofi, msumbuf unakuta tu katulia zake
Mimi ni mwanaume ila siafiki swala hili
Ni mwanaume sawa ila wanaume tunatofautiana ...ndio maana kuna wengine wanapigwa na wake zao wengine hawapigwi mkuu. Na kuna wengine kimoja chali na wengine kazi kazi
 
Back
Top Bottom