Mimba zisizohitajika. Nani alaumiwe?

Mimba zisizohitajika. Nani alaumiwe?

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
25,062
Reaction score
82,013
Nimewaza kuhusu mimba zinazotokea bila mpango kwa wasichana wa shule na vyuoni.....

Nafikiria kuhusu nani haswa ndo mwenye hatia kwenye hizi kesi ila jibu haliji. Huko mtaani wanalaumiwa sana wanaume(bodaboda, lecturer, mwalimu n.k), lakini kama mwanamke hakubakwa, wakati anagegedwa alikua hajielewi au vipi...

Mwanaume aliomba mgegedo akapewa, muomba na muombwa wote wameridhiana, au inatakiwa umpe Dem form asaini ndo umgegede?

Kama hutaki kugegedwa kwanini upokee chipsi, utoe namba, uende geto, uvue chupi?
Hili swala wazee limekaaje hebu tuambizane....
 
Nani wa kulaumiwa?? Halafu mkimpata wa kumlaumu na kumlaumu what next??
 
Alaumiwe mzazi kwa kuwa masikini halafu binti apewe elimu...

Ugumu wa maisha unachangia 75% ya mimba hizi..
 
Nimewaza kuhusu mimba zinazotokea bila mpango kwa wasichana wa shule na vyuoni.....

Nafikiria kuhusu nani haswa ndo mwenye hatia kwenye hizi kesi ila jibu haliji. Huko mtaani wanalaumiwa sana wanaume(bodaboda, lecturer, mwalimu n.k), lakini kama mwanamke hakubakwa, wakati anagegedwa alikua hajielewi au vipi...

Mwanaume aliomba mgegedo akapewa, muomba na muombwa wote wameridhiana, au inatakiwa umpe Dem form asaini ndo umgegede?

Kama hutaki kugegedwa kwanini upokee chipsi, utoe namba, uende geto, uvue chupi?
Hili swala wazee limekaaje hebu tuambizane....
Aliye ibeba🤔
 
Alaumiwe mzazi kwa kuwa masikini halafu binti apewe elimu...

Ugumu wa maisha unachangia 75% ya mimba hizi..
Sa mkuu.. kunawengine sio masikini hata na wanapata.. Tatizo utamu tu😔
 
Sa mkuu.. kunawengine sio masikini hata na wanapata.. Tatizo utamu tu[emoji17]
Hii nimeipenda[emoji23] utamu ulaumiwe. Itengenezwe dawa wapewe mabinti wakigegedana inawapa maumivu makali....
 
Hii nimeipenda[emoji23] utamu ulaumiwe. Itengenezwe dawa wapewe mabinti wakigegedana inawapa maumivu makali....
😂😂😂 Maumivu watavumilia tuu labda wapewe wanaume ili zisitoke😁😁
 
Hili ni swala tata ambalo linahitaji kuchanganuliwa kwa kuzingatia masuala ya kijamii, kiuchumi, kiafya na kimaadili. Ni muhimu kwanza kuelewa kwamba kila mtu anawajibika kwa maamuzi yake, na kwamba kufanya mapenzi kunahusisha watu wawili ambao wanapaswa kuwa wamekubaliana kwa hiari zao.

Katika hali ya kawaida, kila mshiriki wa ngono anapaswa kuwa na uwajibikaji sawa kuhusu kuzuia mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa. Hata hivyo, kuna hali ambazo msichana anaweza kushawishiwa au kulazimishwa kufanya ngono, au hata kutokuwa na ufahamu wa kutosha kuhusu kinga za uzazi na magonjwa ya zinaa. Katika hali hizi, wanaume au wavulana wanaweza kuwajibika kwa kushiriki katika ngono bila kuzingatia maslahi ya mshirika wao.

Wazazi, walimu, viongozi wa jamii na serikali wanapaswa kuchukua hatua za kuelimisha vijana wa kike na wa kiume kuhusu madhara ya ngono zisizodhibitiwa, uzazi wa mpango na kinga dhidi ya magonjwa ya zinaa. Pia, inahitajika kuwepo na sera za kuwezesha upatikanaji wa huduma za afya ya uzazi, elimu na kinga za uzazi kwa vijana.

Kwa ujumla, ni muhimu kuwahimiza vijana kujifunza kuzingatia haki na maslahi ya wengine, kuheshimu miili yao na kuwa na maamuzi yao sahihi kuhusu ngono na mahusiano.
 
Maumivu makali kama wanachomwa sindano kwenye mbussu[emoji23]
Cndm tu ni kazi kutumia ndo watumie izo sindano😂😂😂😂tatizo mudaa unakua haupo, mzuka utaishaa kabisaa.. Ukiona wanatafuta ivo vyote basi io itakua ni mimba imepangwa kabisaa.. 😂😂😂
 
Cndm tu ni kazi kutumia ndo watumie izo sindano😂😂😂😂tatizo mudaa unakua haupo, mzuka utaishaa kabisaa.. Ukiona wanatafuta ivo vyote basi io itakua ni mimba imepangwa kabisaa.. 😂😂😂
Tuwafundishe vijana "withdrawal method", ndomu ni kuwakatili watu kuteleza kwa asilimia zote.
 
Cndm tu ni kazi kutumia ndo watumie izo sindano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mudaa unakua haupo, mzuka utaishaa kabisaa.. Ukiona wanatafuta ivo vyote basi io itakua ni mimba imepangwa kabisaa.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyie wadada mna vimitego vyenu, unamfinyia mhuni ndani unazani atakuacha salama[emoji23]
 
Sa mkuu.. kunawengine sio masikini hata na wanapata.. Tatizo utamu tu
Ndio hao asilimia 25% inayobaki...
Huwezi kumshawishi mwanangu kwa lift ya daladala nakataa na nakukataza..
 
Ndio hao asilimia 25% inayobaki...
Huwezi kumshawishi mwanangu kwa lift ya daladala nakataa na nakukataza..
Ilo poa..lakin vipi wale wanajipeleka wenyewe kwa wanaume? Na wengine wanajua kabisa wako siku za hatari.. 😔😔😔
 
Ilo poa..lakin vipi wale wanajipeleka wenyewe kwa wanaume? Na wengine wanajua kabisa wako siku za hatari..
Hapo ni sawa na kuamua kula mlenda wakati unauza nyama
 
Back
Top Bottom