Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Habari za humu. Ukweli tuongee Ili mambo yakawe sawa. Mwanamke anaendeshwa na emotion Kwa Kiswahili hisia. Hila wanaume wapo in thinking capacity.
Kila jambo wanaume wanafikiria na athari zake ziwe hasi au chanya. Sasa katika ulimwengu wa Sasa hutakiwi kufikiria zaidi. Hapo ndo tunaona ukifikiria wenzako Wana take advantage wewe unabaki kufikiria. Wanaume maamuzi Yao yanachukua muda Ili kuamua. Lakini maamuzi yawanawake ni papo hapo.
Nashauri na sisi wanaume tuwe na maamuzi ya papo hapo Ili tuendane na Dunia. Dunia ya Sasa hutakiwi kuremba. Kila kitu chukulia kama fursa. Mwanaume tumekuwa wagumu kufanya maamuzi.
Maana tunakaaa na kufikiria mara mbili. Mwanamke yupo tayari kuolewa na Mzee Ili mradi anapata Hela. Hataki kudelay kufanya maamuzi.
Na sisi wanaume tufanye maamuzi ghafla bila kusita. Ndoa ni kubet tu.
Hivyo hakuna haja kufikiria. Bet tu kama mzigo pouwa unaish ii tu ila akizingua nawe unazingua maisha yanaenda hivyo