Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Kwa sasa michezo ya Amber Ruty imekuwa fassion sana na aghalabu ukikutana na mwanamke akakupa Tigo ukakataa anakuona choko au mshamba kabisa!
Kama kawaida ya sisi vijana tumekuwa na curiousity/hamu kutaka kufahamu kila kitu ndio maana wengi wetu tumejikuta kwenye mchezo huu wa kishetani kwani ni kinyuma na dini zote.
Kwa kufanya michezo hiyo nimejikuta siishiwi na UTI mbaya zaidi michezo hiyo naifanya nje ya ndoa alafu mayutiai/UTI namletea na wife home kila siku mtoto wa watu anakunywa Azithromyzine but invain mana kila baada ya siku 7 naenda kufukua mitaro.
Nimeumiza kichwa sana ndipo nilipogundua kuwa tatizo ni mimi yani KUCHIMBA mtaro wa maji taka alafu choo nakitoa chooni napeleka bafuni.
Nimeamua niache kabisa michezo ya Amber Rutty niepukane na UTI za kujirudiarudia ambapo kitaalamu ni kwamba magonjwa ya zinaa ya kujirudiarudia kwa mwanaume na mwanamke ni hatari sana kwa afya yake ya uzazi.
My take;
Wanaume wote tunaojali afya zetu na kumwogopa Mungu tuache kuf!ra ili tulinde afya zetu na pia tumrejee Muumba tutasamehewa.
Kuteleza sio kuanguka.