kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete
Mtu kanikubali jana tu. Lakini tayari amesha nilalamikia shida zake mara 3 Asubuhi kaniambia hana salio kwenye simu yake Nikampa pesa za kuweka salio.
Kufika mchana kaniambia anaumwa na hana pesa za kununua vidonge Nikampa pesa tena. Jioni hii kanitumia sms tariki 5 za mwezi huu ni Happy birthday yake Anaomba mchango wangu
Huyu ni chuma ulete kabisa. Na kibaya kwake sisikii si ambiliki